Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe
Mbona ndo danga la madanga mtaani, familia hamjashtukia!Hatutaki wadangaji kwenye ukoo wetu. Miaka 26 unasema mdogo??
Mfungieni ndani asitoke mbona simple tu 🤣🤣🤣🤣🤣Hatutaki dada yetu ageuke kuwa kahaba, awe anachezewa na kila mwanaume hapa mjini. Ni aibu kwa familia
Nyie mnapesa kwani?Of course, hatutaki shemeji ambaye kwao wamepanga ama wanategekea bodaboda kuishi.
We jamaa akili zako ziliwekwa chini au, kwahiyo unaona mafanikio kwa mwanamke kuolewa? Una mawazo ya kizamani sana28 unapaswa kuwa kwenye ndoa. Kinyume na hapo umefungwa na roho wachafu wa ukahaba na hujijui.
Naandika nafuta naandika nafuta...wewe ni punguaniNi ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu?
Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.
Miaka 26 ndio wastani wa kumaliza chuo kikuku kwa mtoto wa kike. Hapo bado hajui mengi kwa kizazi hiki. Ndio mnapelekea ndoa mfu nyie. Muache atajipanga. Mambo ya presha za familia ataangukia pabaya lazima. Na mtajuta. Muacheni bado! Wajinga kweli au we utakuwa mtoto unadhani 26 ni mingi. Ndoa za zama hizi ni tofauti acheni kiherehere na ujinga.Hatutaki wadangaji kwenye ukoo wetu. Miaka 26 unasema mdogo??
Siongelei Mafanikio. Kuolewa kunaleta staha kwa mwanamke. Mwanamke akiwa hajaolewa anaishi maisha ya kishenzi/ukahabaWe jamaa akili zako ziliwekwa chini au, kwahiyo unaona mafanikio kwa mwanamke kuolewa? Una mawazo ya kizamani sana
Ndio akili zako zilipokomea? maisha ya Sasa ndoa sio kipaumbele Cha kila mtu ndiposa utaona vijana wengi hawaoi Sasa huyo dada ako unayemlazisha kuolewa utakuwa unachangamoto kwenye akili,,, piganieni ndoto zake na kumuinua kiuchumi kuliko kupigania aoleweSiongelei Mafanikio. Kuolewa kunaleta staha kwa mwanamke. Mwanamke akiwa hajaolewa anaishi maisha ya kishenzi/ukahaba
Umetekwa na shetanI wa ukahaba ndiyo maana huoni thamani ya jambo jema nililoqndikaNaandika nafuta naandika nafuta...wewe ni punguani
Miaka 26 anamaliza chuo kikuu??!!! Labda kama ameamua kuunganisha na masters. First degree ni miaka 21/22.Miaka 26 ndio wastani wa kumaliza chuo kikuku kwa mtoto wa kike.
Ashadomeshwa mpk chuo kikuu, amepata mpk kazi. Anatokea home kwenda kazini, mwaka wa pili huu tangu aanze kazi. Sasa bado anadai nn toka kwa familia??Ndio akili zako zilipokomea? maisha ya Sasa ndoa sio kipaumbele Cha kila mtu ndiposa utaona vijana wengi hawaoi Sasa huyo dada ako unayemlazisha kuolewa utakuwa unachangamoto kwenye akili,,, piganieni ndoto zake na kumuinua kiuchumi kuliko kupigania aolewe
Kwahiyo kupata kazi ndio mafanikio ya kiuchumi na kuwa haihitaji kufanikiwa kiuchumi? Au mnataka aolewe mpate mgao wa mahari au Basi oleweni nyie Kama mnaona nirahisiAshadomeshwa mpk chuo kikuu, amepata mpk kazi. Anatokea home kwenda kazini, mwaka wa pili huu tangu aanze kazi. Sasa bado anadai nn toka kwa familia??
Familia inataka aolewe ili asije akaanza kutudhalilisha.
Kwahiyo unataka aanze kulipwa na familia ndiyo uridhike? Mtu kasomeshwa na kazi kapata, bado unataka tumpe Mafanikio? Mafanikio gani tena? Atatumia taaluma yake kujipatia Mafanikio yake.Kwahiyo kupata kazi ndio mafanikio ya kiuchumi na kuwa haihitaji kufanikiwa kiuchumi? Au mnataka aolewe mpate mgao wa mahari au Basi oleweni nyie Kama mnaona nirahisi
Mcheki huyowamba akuunganishe kwa dada ake😃Natafuta mdada aliye serious nimuoe.
Sifa.
1. Awe na umri usiozidi miaka 26
2. Awe hajawahi kuolewa
Haijalishi dini
Haijalishi rangi yake.
Sifa zangu
Sijaoa
Nimeajiriwa.
Aliye serious anicheki inbox