Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Biashara ndivyo ulivyo; usione duka limejaza vitu vyenye thamani ya mil. 500 ukajua anapata faida kubwa; bila ujanja ujanza na nidhamu ni ngumu kupata faida unayotegemea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwan wanao weza wanatumia njia ganiBiashara hizi ndogo ndogo zenye mtaji wa chini ya 10M kusavaivu ndani miaka mitatu ni ngumu sana mwaka jana nami nilifunga duka baadaya ya kutoona faida kutokana na gharama kubwa ya uendeshaji kwa mfano
1. Tra 250,000
2. Leseni jiji 200,000(phones and accessories)
3. Kodi jengo (150,000*12)=1,800,000
4. Umeme (10,000*12)=180,000
5. Afu kuna hawa jamaa wa fire niliwakataa
6. Posho ya mfanyakazi (100,000*12)=1,200,000
7.ulinzi (10,000*12) =120,000
8. Usafi na mengineyo=100,000
9. Service levy( hapa niligoma kabsa kutoa) wakatisha kufunga biashara wakanipa control number kwa lazima ila sikulipa
Kwa gharama Hizi kutoboa ni ngumu sana aisee bora niendelee kuajiliwa ila biashara ni big no kabsa
Ideas are one thing; Implementation is the King; Ukija na Wazo zuri kama barriers of entry sio ngumu siku mbili tu watu watachukua idea yako na kuifanya kwa ubora zaidi...Biashara fanya mwenyewe mwanzoni na usipofanya mwenyewe mwanzoni uwezekano wa kukua ni mdogo pia biashara kwenye majijini bakubwa nishida sana kunaitaji kuwa na wazo zuri la biashara sio kuuza vitu vidogovidogo utaona faida.
Pole sana ila naona tatizo liko kwako. Ulivyojumua mzigo uka-relax ukisubiri mzigo wote uishe ununue mwingine. Pia uliweka bei kubwa sana kwenye bidhaa zako. Mzigo wa 3.867m kuuza na kupata 8.245m ni faida zaidi ya 100% kitu ambacho kitafanya mzigo ukae kwa muda mrefu dukani. Ungeweka hata 50% ya bei ya mzigo kama faida ili uishe fasta na kununua mwingine. Ukiwa na mzunguko mkubwa ndo utaona faida na sio na kukaa na mzigo mwaka mzima. Na hizo faida ungeziongezea kwenye mtaji. Kimsingi kulingana na maelezo yako ni kuwa udhaifu uko kwako.Ni hesabu nilizopiga katika duka langu dogo nililoweka binti wa kazi mwaka jana, Nimehitimisha biashara ilikuwa inapiga nondo / kujitekenya / BREAK EVEN.
Siku ya jumapili duka hufungwa hivyo kwa mwaka zinabaki siku 261, kuna siku 8 nje ya jumapili binti hakufika, hivyo duka lilifunguliwa kwa siku 253 .
thamani ya mzigo kwa bei niliyouza 8,245,000
thamani ya mzigo kwa bei niliyojumlia 3,867,000
FAIDA YA MZIGO BILA GHARAMA ZA BIASHARA 4,378,000
GHARAMA ZA BIASHARA KWA MWAKA
Frem (laki 1 na nusu miezi 12) - 1,800,000
mshara 100,000 miez 12 - 1,200,000
chai, usafiri, choo, chakula elf 3 siku 253 - 759,000
tra kodi - 250,000 (haikuwa fair kabisa)
jiji, ulinzi, taka - 18,000
misiba, waombaji - 27,000
umeme - 71,000
leseni - 80,000
JUMLA YA GHARAMA - 4,205,000
FAIDA YA MZIGO - GHARAMA ZA BIASHARA = 173,000
Biashara yangu ni kwamba napewa mzigo naweka dukani, mzigo wangu pekee ni ule niliouza, kama haujauzika huo unaweza kurudi nilikochukua, mzigo ukiisha unaongezwaPole sana ila naona tatizo liko kwako. Ulivyojumua mzigo uka-relax ukisubiri mzigo wote uishe ununue mwingine. Pia uliweka bei kubwa sana kwenye bidhaa zako. Mzigo wa 3.867m kuuza na kupata 8.245m ni faida zaidi ya 100% kitu ambacho kitafanya mzigo ukae kwa muda mrefu dukani. Ungeweka hata 50% ya bei ya mzigo kama faida ili uishe fasta na kununua mwingine. Ukiwa na mzunguko mkubwa ndo utaona faida na sio na kukaa na mzigo mwaka mzima. Na hizo faida ungeziongezea kwenye mtaji. Kimsingi kulingana na maelezo yako ni kuwa udhaifu uko kwako.
Umenena vyema.Aisee hapo maji kwenye kinu,
Ulipokuwa unauza hukuwa unaendelea kuongeza mzigo??
Maana ule mzigo wa Kwanza kuona faida ni ngumu.
Msosi tu tunalipiwa na mabos zao kimacho fanya tulinge ni kuonekana kwenye duka kubwaNje ya mada..
Hivi kumbe hutu tudada dada natotuonaga tunauza maduka ya simu full kuringa ringa na kuongea kwa nyodo, kujidai tu slay queen, kumbe tunalipwa laki tu kwa mwezi..?[emoji849]
Mwanamke hakuumbwa afanye kazi ngumu. Tena utakuta hapo kwenye duka la simu kajishikiza tu ionekane anafanya kazi na sio kwamba ana shida sana na hiyo laki moja. Kuna baadhi wanakuwaga na hela nyingi kuliko mabosi wao kwasababu ya kuhongwa. Mambo ya wanawake waachie wenyeweNje ya mada..
Hivi kumbe hutu tudada dada natotuonaga tunauza maduka ya simu full kuringa ringa na kuongea kwa nyodo, kujidai tu slay queen, kumbe tunalipwa laki tu kwa mwezi..?🙄
Acha mawazo potofuNenda kwa wanganga nae apo dar uwezi fanya biashara bila mganga maana panachuma uleta atali sana.
Ukweli uwo sema aupendwi sana.Acha mawazo potofu
Sure, mabinti wapo madukani wanatumia mabando ya elf 3 kila siku, ukichunguza vizuri kuna vidume kama vitatu kila moja kamuungia bando ili wawasiliane video callMwanamke hakuumbwa afanye kazi ngumu. Tena utakuta hapo kwenye duka la simu kajishikiza tu ionekane anafanya kazi na sio kwamba ana shida sana na hiyo laki moja. Kuna baadhi wanakuwaga na hela nyingi kuliko mabosi wao kwasababu ya kuhongwa. Mambo ya wanawake waachie wenyewe
Kufanya biashara mjini shida ndio maana mm ufanya biashara zangu bushi ujenga town ata kodi sitozwi kama utitiri uwo. In short kodi Tanzania zipo town tu.Kusema kweli hakuna mazingira rafiki Kwa Wafanyabiashara wadogo Tanzania.
Imagine huo Utitiri wa Kodi
Fire
TRA
Property tax
Service levy n.k.
Mbaya zaidi wanataka hiyo Kodi wakati mfanyabiashara haujaanza kuzalisha hata shilingi 50 ya Faida
It's unfair 😭
Kuna siku dukani nimepokea msg ya Silent Ocean mzigo umefika natakiwa nilipie kama 1.7m na kwa bahati mbaya kwa target zangu nilidhani utachelewa kwahiyo kwa hiyo siku sikuwa hata na laki kwa sababu ya kununua stock. Wakati ninawaza yule binti akaniuliza vipi mbona kama unawaza.. nikamjibu mzigo umefika na leo sina hela ya kuutoa. Akaniuliza ni Tsh ngapi nikamjibu. Nikashangaa ananiambia nimruhusu aende nyumbani kuniletea hizo pesa. Nilishtuka na kumuuliza mara tatu kama yuko serious. Baada ya muda karudi na hela. Hiyo ndo siku nilielewa kwanini anko wangu aliniambia USISHINDANE NA DADA YAKO. Huyo binti hakudumu sana kazini alikuja kuolewa na kuachishwa kabisa kazi.Sure, mabinti wapo madukani wanatumia mabando ya elf 3 kila siku, ukichunguza vizuri kuna vidume kama vitatu kila moja kamuungia bando ili wawasiliane video call
Nje ya mada..
Hivi kumbe hutu tudada dada natotuonaga tunauza maduka ya simu full kuringa ringa na kuongea kwa nyodo, kujidai tu slay queen, kumbe tunalipwa laki tu kwa mwezi..?🙄
Uwo = huo, aupendwi = haupendwi. Kawaida watu wenye elimu duni huwa wana mawazo potofuUkweli uwo sema aupendwi sana.
Kodi zipo Kila mahali Mkuu, hata huko Vijijini Kodi zipoKufanya biashara mjini shida ndio maana mm ufanya biashara zangu bushi ujenga town ata kodi sitozwi kama utitiri uwo. In short kodi Tanzania zipo town tu.