Adharusi
JF-Expert Member
- Jan 22, 2012
- 14,422
- 7,350
Nipo Kigoma mda huu,juzi nilikutana na Mkongo mmoja nilimuuliza kuhusu mazao ya ziwa victoria,kwanini huku Kigoma Dagaa ghari,akaniambia Dagaa na migebuka wengi wanaenda Burundi na Rwanda,ila ukiendwa Rukwa-Katavi dagaa na Migebuka ni Rahisi sana kuliko Kigoma,ila wakongo wanavyombo sana,upande wao dagaa na Migebuka ni wengi
