emmarki
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 1,143
- 1,729
Wanajamvi.
Ninaishi kisiwa cha Mafia, mojawapo ya sehemu dagaa uono almaarufu dagaa wa nyama wanakopatikana kwa wingi.
Katika usindikaji wa dagaa ili kuongeza muda wa kuhifadhi (shelf life), wachakataji huchemsha dagaa kwa chumvi nyingi ili wadumu muda mrefu bila kuharibika hadi kumfikia mlaji.
Hoja yangu ni kuwa katika kuchakata kunkohusisha kuchemsha. Je, virutubishi vilivyo ndani ya hawa dagaa havipotolei kwenye maji. Ni sawa na nyama ichemshwe alafu mchuzi umwagwe. Wataalamu wa lishe naomba majibu, au kama kuna tafiti iliyowahi kufanyika kuhusu hili mnijuze.