Dagaa wanaochakatwa kwa kuchemshwa, virutubishi vingi vinapotelea kwenye maji

Dagaa wanaochakatwa kwa kuchemshwa, virutubishi vingi vinapotelea kwenye maji

Siku huzi jamiiforums imekua ya kiwaki sana nyuzi kama hizi hupati wachangiaji lakini nyuzi za mapenzi watu wanajaa
 
Popote ulipo safari yako itaanzia mbagala, ukiwa hapo panda daladala zinazoenda kisemvule. Shuka kituo kinaitwa mwandege stand almaarufu kiwanda cha Bakheresa.

Kulia kwako kuna stand, hapo kuna usafiri utakuchukua hadi Nyamisati (Kibiti) nauli 8,000. Nyamisati hapo utapanda kivuko kitakuleta hadi bandari ya Mafia-Kilindoni, nauli 16,000 tu. Ratiba ya kivuko siyo constant, hubadilika kulingana na maji ya bahari yanavyoenda (kupwa na kujaa). Karibu mkuu
Shukran ntakuja kucheki fursa ya biashara za huko pia ntakujulisha siku nikuwa nakuja huko
 
usafiri mmoja tu, zaidi ya hapo upande ndege nauli 155,000 hadi 160,000
Noma sana wanaogopa kukiwa na usafiri watalii wataenda kule wengi Zanzibar itapata upinzani, na viongozi wa bongo walivolala wanaona poa tu.
 
Back
Top Bottom