Virutubisho kidogo tu vinapotea, hata supu ya nyama haina virutubisho vingi kihivyo, mboga za majani ndio huwa zinatoa/zinachuja virutubisho vingi kwenye mchuzi wake zikichemshwa.
Vitamin especially C kwenye mboga ndio huwa inapungua au kupotelea kwenye maji
Dagaa haina shida
Sehemu nzuri sana Mafia ila imetupwa na serikali ,inadhani italeta ushindani na Zanziber kwa ajili ya utaliii, wacha tuinganganie ZanziberWanajamvi.
Ninaishi kisiwa cha Mafia, mojawapo ya sehemu dagaa uono almaarufu dagaa wa nyama wanakopatikana kwa wingi.
Katika usindikaji wa dagaa ili kuongeza muda wa kuhifadhi (shelf life), wachakataji huchemsha dagaa kwa chumvi nyingi ili wadumu muda mrefu bila kuharibika hadi kumfikia mlaji.
Hoja yangu ni kuwa katika kuchakata kunkohusisha kuchemsha. Je, virutubishi vilivyo ndani ya hawa dagaa havipotolei kwenye maji. Ni sawa na nyama ichemshwe alafu mchuzi umwagwe. Wataalamu wa lishe naomba majibu, au kama kuna tafiti iliyowahi kufanyika kuhusu hili mnijuze.
View attachment 3571892View attachment 3571894
Mkuu natamanigi kufanya utalii mafia ukitaka kufika mwelekeo ukoje kwa mtu anayetokea dar es saalamWanajamvi.
Ninaishi kisiwa cha Mafia, mojawapo ya sehemu dagaa uono almaarufu dagaa wa nyama wanakopatikana kwa wingi.
Katika usindikaji wa dagaa ili kuongeza muda wa kuhifadhi (shelf life), wachakataji huchemsha dagaa kwa chumvi nyingi ili wadumu muda mrefu bila kuharibika hadi kumfikia mlaji.
Hoja yangu ni kuwa katika kuchakata kunkohusisha kuchemsha. Je, virutubishi vilivyo ndani ya hawa dagaa havipotolei kwenye maji. Ni sawa na nyama ichemshwe alafu mchuzi umwagwe. Wataalamu wa lishe naomba majibu, au kama kuna tafiti iliyowahi kufanyika kuhusu hili mnijuze.
View attachment 3571892View attachment 3571894
Janja sio! 🥹😭binti kiziwi Janja unafeli kumbe pishi la dagaa,chukua notisi
Popote ulipo safari yako itaanzia mbagala, ukiwa hapo panda daladala zinazoenda kisemvule. Shuka kituo kinaitwa mwandege stand almaarufu kiwanda cha Bakheresa.Mku
Mkuu natamanigi kufanya utalii mafia ukitaka kufika mwelekeo ukoje kwa mtu anayetokea dar es saalam
Una utafiti mkuu, kuthibitisha kuwa dagaa ni kama bites!Kwanza kabisa hakunaga dagaa WA nyama, dagaa wa nyama ndo kitu Gani? Kingine, mkuu yani kabisa umekosa virutubisho sehem nyingine hadi uje uvizie virutubisho vya 'dagaa wa nyama'? Dagaa sio chakula rasmi ni kama 'bites' tu ndio mana sisi wengine lazima kuwe na mboga nyingine hasa majani majani. Dagaa ni kama crips tu mkuu usiichukulie serious kiasi hiko
🤣🤣Daaaah! Eti dagaa wa nyama🤣