Dah, aisee Warangi wazuri sana

Dah, aisee Warangi wazuri sana

Yaan unamwagalia mdada mpaka unajiuliza huyu alizaliwa? Kila kitu kipo 100%
Yaaaani kama wasomali si wasomali waarabu si waarabu, juzi nilimkuta mmoja aisee ukimuangalia unaweza ukasema shombe shombe la kiarabu halafu ni Mama ntilie anasonga ugali nikasema aisee, life is not fair kwa kweli.
 
Back
Top Bottom