Warangi rangi ndio inawabeba.Hata sijui nisemeje mnielewe.
Ila wana nywele vipilipili hazikui pia wana sura za kukomaa.
Yani wanawahi kuzeeka.
Wazuri WAIRAQWI/WAMBURU BHANA.
Kabila lile Mungu kajua kuliumba.
Na jamii ya pili WANYATURU.
KATIKA haya makabila mrangi haingii hata robo.