Nima Imma
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 2,473
- 3,669
Poleni na majukumu jana bwana niko kazini akatokea rafiki yangu simu yake imeharibika akaniomba akasome yanayojiri jamii forum na huwa si log out mm sikuwa mchoyo basi alivyomaliza akanirejeshea simu.
Imefika jion niko nyumban nataka kujua na mimi yaliyojiri baada ya kazi nyingi duh kila nikiingia hamna kitu sijawahi pigwa ban so sijui hata ukipigwa inakuwaje.
Basi nikajua app inashida nikaiunstall kisha nika install upya bado ikawa hamna kitu ,,nikaiunstall kabisa nikasema niingie kwa website ile na log in lahaulaaahhhhh nina BAN ya 24 hrs aiseeeee iliniuma sana mana aliandika comment ya kipuuzi nikalambwa ban dah aisee ban inauma khaaaa
Ila viongozi why kwenye app inakuwa ban haionyeshi?? Mana ningeona nisingepata shida ya kufuta na kuinstall na kufuta tena app.
Mwisho ,tujiadhari na wanaoingia kwa kupitia simu zetu nimekoma