whitehorse
JF-Expert Member
- Aug 29, 2009
- 2,565
- 4,432
Hahahahahha
Ulikuwa unataka kuuza timu ww
Nilikuwa nauza hadi bench la ufundi [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahha
Ulikuwa unataka kuuza timu ww
Tongozo lilikuwa kwny peak mtoto umeshaelekea kiblaNilikuwa nauza hadi bench la ufundi [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Nisaidie kuomba best
Ni ngumu kumesa aiseeUnampaje mtu aingie na id yako???? Mbona ngumu hii
Wewe ni mwanamke wa shoka! Wait a minute, mmasai ni mume au boyfriend?Usimpe mtu simu yako mimi kuna siku mmasai wangu alidaka kwa bahati mbaya simu yangu nilikuwa kwenye PM natiririka na mtu. Ile nimeenda kuchungulia sufuria jikoni dakika tatu zilimtosha kumjibu vibaya sana mtu niliyekuwa na chat nae. Nilijisikia vibaya sana nikaambulia block kutoka kwa rafiki wangu wa PM[emoji22]
Tangu siku hiyo simu yangu ina password hadi kwenye charger nimeweka password hata akiishi nayo siku nzima hafanikiwi chochote kuanzia kupokea simu hazipokeleki wala haoni chochote. Amepandisha mori hadi ameshusha mwenyewe simpi nafasi kwenye simu yangu tena.
hahaha wew kibokoUsimpe mtu simu yako mimi kuna siku mmasai wangu alidaka kwa bahati mbaya simu yangu nilikuwa kwenye PM natiririka na mtu. Ile nimeenda kuchungulia sufuria jikoni dakika tatu zilimtosha kumjibu vibaya sana mtu niliyekuwa na chat nae. Nilijisikia vibaya sana nikaambulia block kutoka kwa rafiki wangu wa PM[emoji22]
Tangu siku hiyo simu yangu ina password hadi kwenye charger nimeweka password hata akiishi nayo siku nzima hafanikiwi chochote kuanzia kupokea simu hazipokeleki wala haoni chochote. Amepandisha mori hadi ameshusha mwenyewe simpi nafasi kwenye simu yangu tena.
Baada ya ku unstall uliinstall tena app kwa kuitoa wapi?Poleni na majukumu jana bwana niko kazini akatokea rafiki yangu simu yake imeharibika akaniomba akasome yanayojiri jamii forum mm sikuwa mchoyo basi alivyomaliza akanirejeshea simu.
Imefika jion niko nyumban nataka nikajua na mimi yaliyojiri baada ya kazi nyingi duh kila nikiingia hamna kitu sijawahi pigwa ban so sijui hata ukipivwa inakuwaje.
Basi nikajua app inashida nikaiunstall kisha nika install upya bado ikawa hamna kitu ,,nikaiunstall kabisa nikasema niingie kwa website ile na log in lahaulaaahhhhh nina BAN ya 24 hrs aiseeeee iliniuma sana mana aliandika comment ya kipuuzi nikalambwa ban dah aisee ban inauma khaaaa
Ila viongozi why kwenye app inakuwa ban haionyeshi?? Mana ningeona nisingepata shida ya kufuta na kuinstall na kufuta tena app.
Mwisho ,tujiadhari na wanaoingia kwa kupitia simu zetu nimekoma
Mimi ukiweka password kila mtu anaishi kivyake!Nilikuwa nauza hadi bench la ufundi [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] apo kwa babu sasaKuna mijitu mingine ukiiazima simu inaingia moja kwa moja kwenye Profile kuangalia unatumia I'd gani.
Ila hata mimi haka kamtindo ninako sana teh teh teh nilishangaa kumkuta babu yangu wa kufikia mwenye miaka 74 yupo humu.
Bado hujasemaHivi nilikwambia huwa nakutamani?
hahahaa mmasai aiseeeeUsimpe mtu simu yako mimi kuna siku mmasai wangu alidaka kwa bahati mbaya simu yangu nilikuwa kwenye PM natiririka na mtu. Ile nimeenda kuchungulia sufuria jikoni dakika tatu zilimtosha kumjibu vibaya sana mtu niliyekuwa na chat nae. Nilijisikia vibaya sana nikaambulia block kutoka kwa rafiki wangu wa PM[emoji22]
Tangu siku hiyo simu yangu ina password hadi kwenye charger nimeweka password hata akiishi nayo siku nzima hafanikiwi chochote kuanzia kupokea simu hazipokeleki wala haoni chochote. Amepandisha mori hadi ameshusha mwenyewe simpi nafasi kwenye simu yangu tena.
hahaaaaPole sana me tangu mwaka huu uanze sijala ban najisikia vibaya sana
hahahaaNipo na wewe kwani nimekuoa?
Ajabu kweli Tena mfanyakazi tu.Angemtukana kiongozi mkuu ndo angejua.Unampaje mtu aingie na id yako???? Mbona ngumu hii
Sasa ukitaka kumpa mtu kwann usi log out??? Hujawa makini huo uzembe wakoMm nilitumia app so huwa si log out hata siku moja