Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwaiyo sahv rafik ako anakujua humu we ni nani ...kama anasoma apa mwambie neno mojaHapana ni ofisin rafiki /mfanyakazi mwenzangu na aliingia kwa app ambayo huwa si log out
Bas Sawa kumbe haina shida, sis wa id feki tungepata kiweweSijawah weka id fake ,, hata ukipitia uzi zangu hazina kitu cha kunifanya nijifiche na kwa nn nifanye hivyo?....
Pole mm hata mr. Huingia huku muda mwingine akitaka kupost tangazo lake na alishafanya hivyo ,,sina kibaya cha kuhide kabisa kama n mtu katuma pm ya kunitongoza wala haangaiki nazo kabisa kwa sababu ananijua vyemaBas Sawa kumbe haina shida, sis wa id feki tungepata kiwewe
Ahahaa poleUsimpe mtu simu yako mimi kuna siku mmasai wangu alidaka kwa bahati mbaya simu yangu nilikuwa kwenye PM natiririka na mtu. Ile nimeenda kuchungulia sufuria jikoni dakika tatu zilimtosha kumjibu vibaya sana mtu niliyekuwa na chat nae. Nilijisikia vibaya sana nikaambulia block kutoka kwa rafiki wangu wa PM[emoji22]
Tangu siku hiyo simu yangu ina password hadi kwenye charger nimeweka password hata akiishi nayo siku nzima hafanikiwi chochote kuanzia kupokea simu hazipokeleki wala haoni chochote. Amepandisha mori hadi ameshusha mwenyewe simpi nafasi kwenye simu yangu tena.
Tihtihtihtihi ssshhhh love [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] watatusikia tunawasema ujueNakumbuka... Alafu wakaanza kukuachia wewe mimi wakanikazia for one extra day...