Dah Ban inauma aisee! Nimempa rafiki yangu simu aperuzi JF akasababisha nipigwe ban

Dah Ban inauma aisee! Nimempa rafiki yangu simu aperuzi JF akasababisha nipigwe ban

Pole mm hata mr. Huingia huku muda mwingine akitaka kupost tangazo lake na alishafanya hivyo ,,sina kibaya cha kuhide kabisa kama n mtu katuma pm ya kunitongoza wala haangaiki nazo kabisa kwa sababu ananijua vyema
Hujambo Neema?
 
Usimpe mtu simu yako mimi kuna siku mmasai wangu alidaka kwa bahati mbaya simu yangu nilikuwa kwenye PM natiririka na mtu. Ile nimeenda kuchungulia sufuria jikoni dakika tatu zilimtosha kumjibu vibaya sana mtu niliyekuwa na chat nae. Nilijisikia vibaya sana nikaambulia block kutoka kwa rafiki wangu wa PM[emoji22]

Tangu siku hiyo simu yangu ina password hadi kwenye charger nimeweka password hata akiishi nayo siku nzima hafanikiwi chochote kuanzia kupokea simu hazipokeleki wala haoni chochote. Amepandisha mori hadi ameshusha mwenyewe simpi nafasi kwenye simu yangu tena.
Hahahahahaaa, pole sana.

 
Kumbe watu bado wanaazimana simu[emoji15] [emoji15]
 
Back
Top Bottom