Dah! Mpira una mambo ya kikatili sana

Dah! Mpira una mambo ya kikatili sana

FB_IMG_1724090997882.jpg

Akili ya vyura aisee
 
Labda Bravo ashinde mechi inayo fuatia na watunisia ,huku akisubiria kuutumia vizuri uwanja wa nyumbani,tena kwa tofauti ya goli mbili.
Bravo atamchapa Simba vizuri tu pale kwao kisha na yeye ataenda kujiokotea point kwa kibonde wa kundi pale Tunisia na biashara inakuwa imekwisha kwa maana Constantine itayocheza na Simba Ina kaunafuu kaubora tofauti na sfaxien ivyo Simba atoweza kumfunga kiurahisi
 
Fuatilia hesabu za timu yako Simba hafanyi MAGAZIJUTO.
 
Simba na Yanga wanaweza kifuzu kwenda robo fainali kwa kutegemea matokeo ya michezo iliyobaki.
 
Labda Bravo ashinde mechi inayo fuatia na watunisia ,huku akisubiria kuutumia vizuri uwanja wa nyumbani,tena kwa tofauti ya goli mbili.
Bravo mechi inayofatia anakutana na simba sio watunisia
 
Haijalishi anakutana na nani, yy anacho hitaji tofauti ya goli mbili kwako. Kumbuka Cxfaxen ameshatoka, husitegemee kama atawakazia Bravo na Constantine anaweza chezesha vitoto/wachezaji wanao anzia benchi,huku nguvu akihamishia kwenye ligi.
 
Umeongea hata ratiba hujui . Mechi inayofuata ni Bravo Vs Simba.

Back
Top Bottom