African businesses
Member
- Feb 13, 2024
- 80
- 204
Najua mtaumia na wengine mtanitukana, lakini ndugu zangu ukweli lazima usemwe.
BRAVO NA CONSTANTINE WANAKWENDA ROBO FAINALI.
BRAVO NA CONSTANTINE WANAKWENDA ROBO FAINALI.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂Daah! Pombe ina ukatili sana kwa vichwa vibovu!
Pole sana kwa ukatili uliofanyiwa.
Bravo atamchapa Simba vizuri tu pale kwao kisha na yeye ataenda kujiokotea point kwa kibonde wa kundi pale Tunisia na biashara inakuwa imekwisha kwa maana Constantine itayocheza na Simba Ina kaunafuu kaubora tofauti na sfaxien ivyo Simba atoweza kumfunga kiurahisiLabda Bravo ashinde mechi inayo fuatia na watunisia ,huku akisubiria kuutumia vizuri uwanja wa nyumbani,tena kwa tofauti ya goli mbili.
Fuatilia hesabu za timu yako Simba hafanyi MAGAZIJUTO.Bravo atamchapa Simba vizuri tu pale kwao kisha na yeye ataenda kujiokotea point kwa kibonde wa kundi pale Tunisia na biashara inakuwa imekwisha kwa maana Constantine itayocheza na Simba Ina kaunafuu kaubora tofauti na sfaxien ivyo Simba atoweza kumfunga kiurahisi
Hesabu za timu yangu ziko very clear Al hilal anapigwa kwao na Mc alger anakutana nacho kwa mkapa tunafunga hesabu,,Fuatilia hesabu za timu yako Simba hafanyi MAGAZIJUTO.
Bravo mechi inayofatia anakutana na simba sio watunisiaLabda Bravo ashinde mechi inayo fuatia na watunisia ,huku akisubiria kuutumia vizuri uwanja wa nyumbani,tena kwa tofauti ya goli mbili.
Haijalishi anakutana na nani, yy anacho hitaji tofauti ya goli mbili kwako. Kumbuka Cxfaxen ameshatoka, husitegemee kama atawakazia Bravo na Constantine anaweza chezesha vitoto/wachezaji wanao anzia benchi,huku nguvu akihamishia kwenye ligi.Bravo mechi inayofatia anakutana na simba sio watunisia
Umeongea hata ratiba hujui . Mechi inayofuata ni Bravo Vs Simba.Labda Bravo ashinde mechi inayo fuatia na watunisia ,huku akisubiria kuutumia vizuri uwanja wa nyumbani,tena kwa tofauti ya goli mbili.
Haijalishi anakutana na nani, yy anacho hitaji tofauti ya goli mbili kwako. Kumbuka Cxfaxen ameshatoka, husitegemee kama atawakazia Bravo na Constantine anaweza chezesha vitoto/wachezaji wanao anzia benchi,huku nguvu akihamishia kwenye ligi.Umeongea hata ratiba hujui . Mechi inayofuata ni Bravo Vs Simba.