Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ada wapii hela ya madalali hiyoShem Kuna kazi nimewambia waanzr nazo Zanzibar za ulinzi. Wajichangr kila mtu apate walau laki 4 ili wakapige training ya mambo ya hotrli miezi 3 ada laki 3 baada ya hapo wanapata michongo mahotelini mana mm nilianza hivyo.
Kuna magiteli watu wa restaurant wanalipwa Hadi laki 5 hasa barman. Wao wanaona kuja kuanza na ulinzi ni kama kupotrxa mda, mm nilifabya hiyo na digrii yangu.. kazi iliyojaa darasa la saba
Me sijawahi igiza humu na sitakuja maana najua ipo siku nitaomba msaada.Na kiukweli mimi si tajira,msomi walaaa,ni mpambanaji ninayehitaji kushikwa mkono kwa yeyote atakayewiwa na Mungu atambariki.Shida ya kuigiza maisha mtandaoni ukifikwa na ya kukufika unaionea aibu ID yako. Nikushauri weka wazi hiyo ID yako maarufu humu pengine itakuwa rahisi kwako kufikiwq kiwepesi, trust me
Ofkooz... Wengine 150k lakin unalipa tu. Kuna dogo alinifata inbox akaperesu peresu akaniambia nasikia Bure. Mm nikamwambia aliekwambia Bure akupeleke huko mana mm nililipa na ningekuubga kwa walionipeleka. Akaona namtapeli nikamuacha.Ada wapii hela ya madalali hiyo