Dah! Nusu nilizwe Kariakooo

Sura ngumu wapi mzee ujaingia King
We sema hunijui nilivyo
Kama miaka ya juzi tu niliwahi kuvamiwa na vibaka wa Mwananyamala usiku wa saa saba natoka kununua malaya
Vibaka wakiwa saba na visu nilichowafanyia hawatokaa wasahau nilifanikiwa kumnyonga mmoja pale pale wengine wote walikimbia kutoka uchochoroni wakavuka barabara sikuwaona tena nahisi walirudi pale asubuhi kuchukua mwili wa mwenzao (kama kweli alikufa maana nlimnyonga mpaka niliposikia harufu ya nya nikamtupa mtaroni nikapita hivi)
 
Umetembelewa na malaika katika umbo la mwanadamu! Ulikuwa umeingia hasara mazima. Pole.
 
Mimi sikuwa na hasira muda uho nimebak nashangaa tu ase
 
Mh labda kama na ww ni kaka jambazi
 
Umetembelewa na malaika katika umbo la mwanadamu! Ulikuwa umeingia hasara mazima. Pole.
Acha kabisa lak nne ningepata wapi sasaiv nipo mkavuu mweupe ningeishi bila simu
 
Kwa trick hii watu 99% wangeibiwa, ila watakana hapa.
 
Wewe hao ni wale wezi wanao kaa nje ya bank wanakula dili na wahudumu wa bank
 
Mimi ndo nilipigwa kwa stylr hii [emoji1787] Karume pale dah hiyo stylr unaweza ibiwa hata kama umezaliwa dar yani ilikua kama miujiza najicheki sina simu
 
Pole! Hiyo ndo bongo
 
Mbezi Stendi ya Daladala nilikuwa nashangaa wale jamaa wanaolisha nyoka unga.
2018
Ahahahh mbezi hapo napo pakuangalia san duh Pole nakumbuka nilikuwa naenda arusha wazee wakanipakiza garonne ya arusha one imechoka nilikuwa na hasira uku nagombana na dalai kumbe kuna mtu anataka nichomoa hela siwekagi kwenye walet hasira zika hamia kwake sema sina mkono mwepes
 
Wewe hao ni wale wezi wanao kaa nje ya bank wanakula dili na wahudumu wa bank
Itakua,,,, niliumwa wiki nzima halafu nilichokua naumwa sikijui...sijui mzee alisolve vipi ile issue yani hadi kumuulizaga naogopa🙇‍♀️🙇‍♀️
 
Mimi ndo nilipigwa kwa stylr hii [emoji1787] Karume pale dah hiyo stylr unaweza ibiwa hata kama umezaliwa dar yani ilikua kama miujiza najicheki sina simu
Pole af ukiangalia unajins
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…