Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba angevaa modo asingepigwaBila shaka mzee unavaa mabwanga/ masuruali makubwa
Mbona uzoefu 😂Wizi wa kizamani sana.
Wanategesha Mguu. Ukiwakanyaga tu, anakushika na kuanza kukutingisha. Maana yake anakuondolea concentration kwenye mifuko na begi lako.
Wakati mmoja anakutingisha, hutosikia kingine kinachoendelea. Unaibiwa.
Pole sana.
Wa kuja huyo anakataa tu lkn pale mpaka wakufanyie hvowalishakutrack kitamboNakucheka unavyosema yani huelewi tukio limetokeaje😃😃😃,, ila pole sana😂😂
😁😁😁👏👏👏Wizi wa kizamani sana.
Wanategesha Mguu. Ukiwakanyaga tu, anakushika na kuanza kukutingisha. Maana yake anakuondolea concentration kwenye mifuko na begi lako.
Wakati mmoja anakutingisha, hutosikia kingine kinachoendelea. Unaibiwa.
Pole sana.
Aisee..mchezo huo nililambwa infinix ya ngama 2014 🙄 🙄
Hahaha!. Ni kweli, ila nina machale sana. Nikienda kwenye msururu wa watu, kila saa najishika mfukoni. Unaweza kushtukia hata kende hazipo.Mbona uzoefu 😂
Ukute walishakutingisha hapo Ilala
Sawa poleHellow
Mimi siku zote nilikuwa nikiambiwa watu wanaibiwa simu Kariakoo siamini nasemaga uzembe
Leo sasa yamenikuta mimi na bila yule kijana simu ingesepa bila kujua dah
Mchezo ulikuwa hivi, kaja kijana akaanza nikanyaga kwenye mgu uku anasema kuwa ungekanyagwa wewe namna hii ungejisikiaje sasa nikawa namshangaa na kujiuliza kumbe kuna mwezie kasha ingiza mkono mfukon anachukua simu wala sijui
Katokea kijana akaniita njoo mzee uchukue simu yako nashangaa na kujiuliza haya yametokeaje napewa simu uku mwizi akipigwa makofi nikashukuru basi nikasepa jamaa nampa hela kagoma bado najiuliza yametokeaje haya.
Simu yangu bado mpya hata mwezi haijaisha
AsanteKaribu darisalama.
WamefanyajeWasabato bhana!!
Watu wenye hasira kaliNilikosa kosa kumuua mmoja pale kwa wasomali...lile buti nililomfumua kifuani sijui anaendeleaje huko!
UjakoseaSijakuwepo eneo la tukio Ila nahisi ulikua umevaa surual ya kitambaa Pana ina marinda,chini viatu vya kamba vyeupe na Shati la batiki halijapigwa pasi
Samsung NOTEItakuwa simu yako ni Tecno au Infinix ndio maana wamekurejeshea.