Dah! Nusu nilizwe Kariakooo

Dah! Nusu nilizwe Kariakooo

Wizi wa kizamani sana.

Wanategesha Mguu. Ukiwakanyaga tu, anakushika na kuanza kukutingisha. Maana yake anakuondolea concentration kwenye mifuko na begi lako.

Wakati mmoja anakutingisha, hutosikia kingine kinachoendelea. Unaibiwa.

Pole sana.
Ndio ilishawahi kunitokea mm huku zanzibar hawakufanikiwa kuniibia niliwashtukizia japo sikuwa najua mbinu hio ni muda kidogo ilinitokea
 
Mwaka 2004 Mara ya kwanza tunaenda kariakoo asubuhi sana nikaona watu wamelalia mabox,niliistaajabu sana mana ilikua Mara yangu ya kwanza kuona tukio lile,maisha ni ya kustaajabisha na kuogofya mno
 
Back
Top Bottom