Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
- #161
Pumbavu zak8Wamekuokota tu wewe wanaangalia na sura za kuja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pumbavu zak8Wamekuokota tu wewe wanaangalia na sura za kuja
Nakaziacool person hawaibiwi mkuu
wewe kubali tu unajiona cool ukweli ni wakuja
Ndio ilishawahi kunitokea mm huku zanzibar hawakufanikiwa kuniibia niliwashtukizia japo sikuwa najua mbinu hio ni muda kidogo ilinitokeaWizi wa kizamani sana.
Wanategesha Mguu. Ukiwakanyaga tu, anakushika na kuanza kukutingisha. Maana yake anakuondolea concentration kwenye mifuko na begi lako.
Wakati mmoja anakutingisha, hutosikia kingine kinachoendelea. Unaibiwa.
Pole sana.