Dah, Wanawake wanateseka sana duniani

Dah, Wanawake wanateseka sana duniani

Ndio mana kuna vyama vya kutetea wanawake ndugu yangu, kwa kweli wanstahili sana kutetewa. Hakuna chama cha kutetea wanaume

Ila pamoja na yote kuna wanawake ni wakorofi hao balaa, wapo wachache wanawachapa makofi waume zao, angalau hao wanawawakilisha wenzao wengi wanaoonewa
 
Sina uhakika na hilo sana ila kama mwanaume ukiishi vizuri na mkeo, mke anatakiwa kutangulia kufa na mwanaume achelewe. Hivi kama mwanamke ameumbwa kumtamani na kumtegemea mwanaume, iweje tegemeo afe alafu tegemezi aendele ku survive?
Ukifa wewe anaolewa utegemezi unaendelea, kama vile akifa yeye wewe unaoa unaendelea kuhudumia
 
Wanawake nawapenda na nitaendelea kuwapenda hata akinifanyaje namtazama na kumuacha aende zake na Hilo litabaki hivyo daima
 
Ukifa wewe anaolewa utegemezi unaendelea, kama vile akifa yeye wewe unaoa unaendelea kuhudumia
Ndoa ya kwanza siyo sawa na ndoa zingine. Ndoa sahihi humwacha mgane/mjane katika uzee usioruhusu ndoa nyingine.
 
Sina uhakika na hilo sana ila kama mwanaume ukiishi vizuri na mkeo, mke anatakiwa kutangulia kufa na mwanaume achelewe. Hivi kama mwanamke ameumbwa kumtamani na kumtegemea mwanaume, iweje tegemeo afe alafu tegemezi aendele ku survive?
Hujui kama mwanaume anafanya kazi nyingi za hatari?, Anajiexpose mazingira mengi ya hatari ambayo ni rahisi kwake kumsababishia kofo?
 
Ukianza kuwa na huruma na mwanamke asiye mama yako ujue unakaribia kufa!
 
Hujui kama mwanaume anafanya kazi nyingi za hatari?, Anajiexpose mazingira mengi ya hatari ambayo ni rahisi kwake kumsababishia kofo?
Katika historia ya mwanadamu shughuli ya hatari zaidi ni mwanamke kuzaa. Siwatetei wanawake lakini huo ndo ukwili Yakobo/Israel pamoja na kuwa mbarikiwa wa Mungu alipoteza mke sababu ya uzazi. Mababu wa zamani walioa wake wengi sababu chance ya kupoteza mke kwenye uzazi ilikuwa kubwa mno. Karne ya 21 imepunguza vifo vitokanavyo na uzazi lkn imemuweka ke kwenye hatari zingine zinazomkabili me.
 
Ndoa ya kwanza siyo sawa na ndoa zingine. Ndoa sahihi humwacha mgane/mjane katika uzee usioruhusu ndoa nyingine.
Siyo wote, na ikiwa amezeeka watoto watashika hatamu na nafasi ya baba Yao ya matunzo
 
Kuna siku nilimuuliza Babu yangu kwanini wanaume wengi hufa mapema kuliko wanawake? akanijibu ni kwa sababu ya maovu wanayowatendea wanawake. Karma is a bitch!
babu yako alikuwa anaona unamzingua tu ndio maana kakujibu hivyo
wanume wanakufa haraka sabab ya mizigo wanayobebeshwa wasiyostahili
bro, unaoa mke apo apo anakuletea wadogo zke uwasomeshe ilhali na wewe
unao wadogo ambao bado wanasoma, hapo hapo baba mkwe anaami kwako
anasema kaja kuwatembelea alafu anakaa kwako miezi 6, umlishe mkeo,
mara atakuambia mama nyumbani mgonjwa eti wewe ndio utoe hela akatibiwe
mamake? hii uyo mama hana watoto wa kiume kwani? nimlee mimi mkwe kwani
hana watoto wa kiume? nisomeshe wadogo wa mke kwani baba yao si yupo? kama
hawezi kuwasomesha aliwazalia nini? hizi na sababu nyingine nyingi ndio zinazosababisha
wanaume walio wengi kuondoka kabla ya wakati wao sabab ya kubebeshwa mizigo
wasiyostahili
 
Back
Top Bottom