Kumu wish?Naona ishu ya zamaradi mketema kuolewa na mtu mwingine na kumuacha boss wa clouds,haijamuuma Ruge pekeake,hata watangazaji wengine.
Zamaradi,achilia mbali harusi yake ya majuzi,leo ni birthday yake,lakini si clouds kama redio,wala watangazaji hata kumuwish tu.
Mbona mnapelekeshwa sana na huyo Ruge?Yaani hata maisha binafsi tu pia mnapangiwa na Ruge?
Dah hata millard ayo?
Acheni izo
ohooo [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]tehe tehe tehe kibiti
Ruge anaharibugi kuchanganya bifu binafsi na biashara.Naona ishu ya zamaradi mketema kuolewa na mtu mwingine na kumuacha boss wa clouds,haijamuuma Ruge pekeake,hata watangazaji wengine.
Zamaradi,achilia mbali harusi yake ya majuzi,leo ni birthday yake,lakini si clouds kama redio,wala watangazaji hata kumuwish tu.
Mbona mnapelekeshwa sana na huyo Ruge?Yaani hata maisha binafsi tu pia mnapangiwa na Ruge?
Dah hata millard ayo?
Acheni izo
Kweli lakini.Alie juu mngoje chini Zamaradi ndie aliesababisha Dina Marius kutoka Clouds sasa zamu yake na yeye.
Maisha hayana formula
Kiswazwi bwana.Kuna siku Mandela aliongea Jambo la msingi sijui niliweke Kwa kimombo au Kiswahili dah
Wakikujibu naomba nitag [emoji23][emoji23][emoji23]Hivi kwani bdo anafanya kzi Clauds ama ameshaacha?
Kwa hali ya sahizi amna mwenye jeuri ya kumbishia boss au kumuudhiVIBARUA VYAO VIKIOTA NYASI UTAWAAJIRI?
Ntumie hio clip mkuuHata Mimi nisingemuwishi,huyo ssta sio kabisa,kuolewa sio tatizo lkniii kuachia zile clip za Ruge akimlilia alikusudia kuonyesha nini??au alitaka mume mpya ajue ana sukari so analiliwa???nisiongee sana nisijemtusi naogopa makosa ya mtandaoniiii
Ukisikia mengine anayowafanya Ruge si utazimia mkuu?Naona ishu ya zamaradi mketema kuolewa na mtu mwingine na kumuacha boss wa clouds,haijamuuma Ruge pekeake,hata watangazaji wengine.
Zamaradi,achilia mbali harusi yake ya majuzi,leo ni birthday yake,lakini si clouds kama redio,wala watangazaji hata kumuwish tu.
Mbona mnapelekeshwa sana na huyo Ruge?Yaani hata maisha binafsi tu pia mnapangiwa na Ruge?
Dah hata millard ayo?
Acheni izo
Kafuta hiyo postNimemuona ANTONIO NUGAZ kamuwish....