Dah watangazaji wa clouds acheni hizo,duniani tunapita

Dah watangazaji wa clouds acheni hizo,duniani tunapita

Ajira za private sector boss ni Mungu Mtu!!! Ukienda kinyume na anavyo taka ujiandae kupigwa chini. Ni vizuri kama wamemchunia ili kulinda ajira zao lakini pia haitomzuia Zamaradi kuendelea na sherehe yake.
Ila daaaa!! Ruge umetudhalilisha wanaume!!!! Unaliliaje mbunye kiasi kile!!!!![emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwahiyo Zamaradi baada ya kuolewa na mtu mwingine ameacha kazi Clouds?
 
Back
Top Bottom