Kama Tanzania ni nchi ya majadiliano mbona ccm wanatumia mabavu ?Rais amesema suala hili lisubiri kwanza wakati akiirudisha nchi yetu katika hali iliyo bora kuliko hapo awali kinachoshangaza uharaka wa suala katiba mpya sielewi chadema kwa nini wanalilazimisha kupita maelezo, Kwa vyovyoye hawa ni watu ambao ni waroho wa madaraka na lango lao kuingilia ikulu ili kujineemesha ni kudai katiba kwa nguvu, TANZANIA NI NCHI YA KIMAJADILIANO ZAIDI KULIKO MABAVU YAO, nadhani hekima ni wangeomba majadiliano kuhusu lini serekali inaona ni wakati muafaka wa kulijadili jambo hili.
Lini nchi ilitoka kwenye mstari ?Endapo wameomba kuonana na mamlaka husika wavute subra ratiba ya itapangwa wakati utakapofika kwa sasa rais wetu ana shughuli nyingi sana za kurudisha nchi kwenye mstari wake
Imetoka kwenye mstari upi na anairudisha kwenye mstari upi ?Endapo wameomba kuonana na mamlaka husika wavute subra ratiba ya itapangwa wakati utakapofika kwa sasa rais wetu ana shughuli nyingi sana za kurudisha nchi kwenye mstari wake
Reformations zipi ?katiba yetu inahitaji reformations
Kutoka moyoni mwako, na kwa imani ya dini yako (ingawa, Nina shaka kama we' ni muumini wa Dini yoyote imtambuaye Mwenyezi Mungu)unaweza UKAAPA kuwa, unaamini mashtaka aliyotuhumiwa ni kweli?Sidhani kama kudai katiba ni sababu..mbona waliodai katiba ni wengi na hawajapewa kesi ya ugaidi?..mbowe atakua na mambo yake mengine tu nahisi
Big show hakuwahi kuwa mvivu namna yako hiyo. Kama wote wakitulia bila kuidai itakujaje hiyo katiba mpya ?!. Kila jambo lazima wawepo wasukuma hoja na ndiyo hao Cdm . So usikerekeVyama vya upinzan gan vinavyodai katiba zaid ya mbowe??aanzie na katiba ya chama chake kwanza,why miaka 17 yupo hapo hapo na hatak kuondoka??
Kwani ilikua imeenda wapi mpaka kuirudisha kwenye mstari wakati yeye alikua ni sehemu ya serikali iliyokuwepo. Hapa ndio nashindwaga kuzielewa sera za CCM kila Raisi anakuja na mambo yake hakuna consistency mipango yao kwa style hii maendeleo yatachelewa sana maana chama hichohicho lakini hakuna muunganiko kwenye mipango yao kila anayekuja atabomo na kuanza upya nchi haijegwi hivyo. Kiufupi chama tawala kinaogopa kufanya mchakato wa katiba mpya kwa sababu wanaogopa kupotezaa nguvuEndapo wameomba kuonana na mamlaka husika wavute subra ratiba ya itapangwa wakati utakapofika kwa sasa rais wetu ana shughuli nyingi sana za kurudisha nchi kwenye mstari wake
Yaani wewe ni juha sana. Yaani unatoka hadharani kusema nchi ilitoka nje ya mstari nahutaki katiba mpya??Endapo wameomba kuonana na mamlaka husika wavute subra ratiba ya itapangwa wakati utakapofika kwa sasa rais wetu ana shughuli nyingi sana za kurudisha nchi kwenye mstari wake
Lissu unamuona yupo sawa? I,q ni zile zile creaming capabilities ni moja,nguvu ya kuona wanajua kila kitu ni moja, nguvui ya kutokubali kushindwa ni moja hali ya kutoambilika ni moja terrible terrible terrible utu uzima dawa kuishi kwingi kujifunza mengiYaani wewe ni juha sana. Yaani unatoka hadharani kusema nchi ilitoka nje ya mstari nahutaki katiba mpya??
Sasa huoni kuwa walioitoa nchi nje ya mstari walijua hawafanywi chochote kwasababu wanalindwa na katiba iliyopo
Umeconnect the dots vizuri.Unajua ukisha zoea kupanda V8 basi kurudi kwa VITS ni hatari mnoNimewaza mengi. Nikagundua kwamba kudai katiba mpya italeta hofu ya kupokwa madaraka miongoni mwa viongozi walioko madarakani , hofu hupelekea presha (hypertension) na visukari (diabetes) kupanda, na hatimaye kifo. Hivo basi kudai katiba mpya kunako fanywa na wanaharakati na vyama pinzani ni ugaidi wa kutaka kuua viongozi wa serikali.
Rais amesema suala hili lisubiri kwanza wakati akiirudisha nchi yetu katika hali iliyo bora kuliko hapo awali kinachoshangaza uharaka wa suala katiba mpya sielewi chadema kwa nini wanalilazimisha kupita maelezo, Kwa vyovyoye hawa ni watu ambao ni waroho wa madaraka na lango lao kuingilia ikulu ili kujineemesha ni kudai katiba kwa nguvu, TANZANIA NI NCHI YA KIMAJADILIANO ZAIDI KULIKO MABAVU YAO, nadhani hekima ni wangeomba majadiliano kuhusu lini serekali inaona ni wakati muafaka wa kulijadili jambo hili.
Endapo wameomba kuonana na mamlaka husika wavute subra ratiba ya itapangwa wakati utakapofika kwa sasa rais wetu ana shughuli nyingi sana za kurudisha nchi kwenye mstari wake
Constructive point.... uko sahihi to some extent japo pol-ccm wamekuwa very specific gaidi ni mmoja tu, Mbowe, ambaye alikuwa anatafutwa muda mrefu na siku, by coincidence, muda mfupi kabla ya kongamano la katiba mpya akatiwa nguvuni na vyombo mahiri vya usalama baada ya kupata taarifa nzito na nyeti za siri wakishirikiana na vyombo vingine vya kikanda na kimataifa!
... Let's give them benefit of doubt; je, kwa kuwa gaidi hatari sana kwa usalama wa nchi yuko "pahala salama" mikutano ya katiba mpya inaweza kuendelea? Maandiko yanasema, "mdomo wa kweli utathibitishwa milele; bali ulimi wa uongo ni wa kitambo tu." Ndipo tulipofikia kama nchi!
Labda Mheshimiwa Rais awamu ya nne aulizwe!! Nakumbuka ndani ya tume miongoni mwao walikuwemo mawaziri wakuu wastaafu wawili, jaji mkuu mstaafu,majaji,Wahadhiri wa vyuo vikuu na wengine wengi wabobefu wa mambo ya siasa,sheria na utawala.wote hawa walikuwa wajinga kutumwa kwenye jambo lisilo na faida!! Vipi kuhusu gharama ya kazi hiyo nani awajibishwe!!Reformations zipi ?
Hawa wenzetu naona wanachelewesha katiba kwa malengo makuu mawili.Labda Mheshimiwa Rais awamu ya nne aulizwe!! Nakumbuka ndani ya tume miongoni mwao walikuwemo mawaziri wakuu wastaafu wawili, jaji mkuu mstaafu,majaji,Wahadhiri wa vyuo vikuu na wengine wengi wabobefu wa mambo ya siasa,sheria na utawala.wote hawa walikuwa wajinga kutumwa kwenye jambo lisilo na faida!! Vipi kuhusu gharama ya kazi hiyo nani awajibishwe!!
Mabavu yapi unamaanisha? Mbona wameomba sana majadiliano kwa maandishi! Kufanya kongamano ndio mabavu? Utajengaje hoja kama hukutani na watu mkajadiliana kwenye kongamano?Rais amesema suala hili lisubiri kwanza wakati akiirudisha nchi yetu katika hali iliyo bora kuliko hapo awali kinachoshangaza uharaka wa suala katiba mpya sielewi chadema kwa nini wanalilazimisha kupita maelezo, Kwa vyovyoye hawa ni watu ambao ni waroho wa madaraka na lango lao kuingilia ikulu ili kujineemesha ni kudai katiba kwa nguvu, TANZANIA NI NCHI YA KIMAJADILIANO ZAIDI KULIKO MABAVU YAO, nadhani hekima ni wangeomba majadiliano kuhusu lini serekali inaona ni wakati muafaka wa kulijadili jambo hili.
Sidhani kama kudai katiba ni sababu..mbona waliodai katiba ni wengi na hawajapewa kesi ya ugaidi?..mbowe atakua na mambo yake mengine tu nahisi
Chama gani kilisababisha hali kuwa mbaya hapo awali na je hyuy wa sasa anayesema anataka kurekebisha hali anatoka chama gani?Rais amesema suala hili lisubiri kwanza wakati akiirudisha nchi yetu katika hali iliyo bora kuliko hapo awali
URAIS NI TEAM WORK NA SIYO ISSUE YA PERSONAL ISSUE UMWANDIKIAPO BARUA HAIWEZI KUJIBIWA KESHO YAKE THE WAY YOU THOUGHT KUNA MAMBO MENGI YANAPITA NDANI YAKE KABLA YA KUONANA NANYI NDIO MAANA NASEMA YEYE AMESHATUAMBIA TUVUTE SUBIRA BASI YATUPASA TUVUTE SUBIRAAU MLITAKA MKANYWE CHAI BILA KUWEPO NA AJENDA MAALUMU?Mabavu yapi unamaanisha? Mbona wameomba sana majadiliano kwa maandishi! Kufanya kongamano ndio mabavu? Utajengaje hoja kama hukutani na watu mkajadiliana kwenye kongamano?