Dai mtazame Zari kwa jicho la 3

Mimi naona ndugu Fyatu hujaeleweka,mpangilio wako Wa maneno siyo sawa.Anza upya.
 
Tatizo lenu mmekremu maisha,Zari is living the life and watu mko veryyy jealous, poleni...wanawake wakiafrika bana ni Kasumba yenu kuvumilia bullshit ili kulinda ndoa ht km mume hakuthamini, mnamuona zari kaacha mapesa kw Ivan kamove on na mtt mdogo Dai povu linawatoka..
I see zari kafata penzi kwa Dai,mana kama ni hela tu Ivan ni kiboko kwny pesa,.
 
Nadhani ujanielewa

Naongelea picha anazopost kashikwa tak.... picha anazopost kabinywa nyony.... angekua kajala mngemsema kuwa hana maadili anafanya vitu vya ajabu wakat ana binti mkubwa, ila kwa zari mnamsifia sijui watoto wake yeye wote wananyonya!! Huo ndiyo unafki ninaouzungumzia.

Kuhusu kupost picha za msiba mimi sioni tatizo maana hata kwenye misiba yetu watz hadi camera man tunamkodisha, so na hapo tuna unafki wa kumuona yeye kafanya vibaya wakati hata sisi tunayafanya.

Next time usome vizuri team mond mwenzangu maana hapo juu ulikurupuka.[emoji14]
 
daimond sijui kampendea nini yule bibi.


daimomd akifikisha 40 zari anamiaka 60 na upuuzi
 
Umeongea vyema sana, halafu sijui kwa nini inaonekana Zari alimuacha Ivan na sio Ivan alisababsha ndoa yao kwisha? Yaani zari avumilie vituko ndani ya nyumba kwa sababu tu kuna hela? Mara ngapi Ivan alikuwa anatoa maneno ya shombo kuhusu Zari? Alifikia hata kuvujisha video ya Zari akijitia na dude la bandia?! A mesababisha ndoa kufa kwa ajili ya kuamini kwenye pesa Zari kuanza maisha mapya akaumia tena, yaani Ivan alitaka Zari aharibikiwe maisha ndio iwe furaha yake kwamba alimuweka mjini, halafu kwani Zari alijua Ivan atakufa lini yeye awe mrithi? Asilaumiwe kwa lolote.
 
hakuna mwanaume ambaye hapendi kuwa na watoto wenye mbegu ya mwanamke kama Zari,hilo ndo la muhimu zaidi hayo mengine yana epukika...
 
daimond sijui kampendea nini yule bibi.


daimomd akifikisha 40 zari anamiaka 60 na upuuzi
Yule rais wa Ufaransa ana enjoy tu na bibi yake wala haoni umri ni tatizo na hana mtoto hata mmoja, iwe Dai wakati keshapata watoto 2 na hunda wakaongeza? Mahusiano ni maelewano na nafsi kuridhiana sio umri mdogo mbona kawapiga chini kina wema Jokate na wengine wengi katua kwa zari?
 



kwa akili zako unaona yule raisi ni rijali?
 
Mngemshauri mapema haya labda ingesaidia lakini muda ndio hivyo tena umepita. Kuna yule 'rafiki yake mkuu' waliyekuwa wakitembeleana hadi mijengoni sijui naye hakuwahi kumshauri!
Kosa lilikuwa ni pale kijana mdogo anayetokea kwenye nchi ambayo takwimu zinaonyesha wasichana ni wengi kuliko wavulana lakini akashindwa kumpata binti wanayeshabihiana kiumri na 'kumuoa' mtu mzima tena mwenye watoto watatu na mme juu! Ulitegemea matokeo gani hapo kama sio kutoka kwenye uhuru na kujipeleka utumwani!? Waliomshauri akawaambia eti 'kuchapiwa ni siri ya ndani', sasa mbona hajaudhuria mazishi kama kweli mjanja!?
 
Wacha kijana aendelee kula ZARi pamoja na Mali nyingine za Marehemu, maana hata yeye Dai akifa akina Harmorappa watafanya hicho hicho kwa Mjane. So bora kula kabisa ukiwa hai.



watoto watahisi ni bibi yao.

umri mkubwa watoto anao watatu

kweli daimond na ujanja wake wote kanaswa na penzi la sugar mamy
 
mwenye macho haambiwi tazama. unashindwa kumwamini aliekuumba mimi ndo utaniamini sasa.
siwezi kukuamini hata kwa mtutu wa bunduki labda uthibitishe kwa vidhibiti ulikuwa nae chumbani akashindwa.. Muumba wangu namuamini na ndio maana sitaki kumshuhudia mtu uongo..
 
Picha zote za shughuli za mazishi alizo-post ni hizi hapa chini:







Haya nisaidie wewe sasa ili hatimae tuhitimishe ni nani kati yetu aliyekurupuka!!!

Ni ipi kati ya hizo picha ameshikwa makalio na kubinywa matiti?! Tena unadiriki kabisa kuandika icha "anazo-post" ameshikwa makalio, nyonyo... which means, ni zaidi ya moja!!! Yaani alikuwa ni full ku-post picha alizoshikwa makalio!!!

Na hapa usichanganye mambo... hakuna cha Team Mond wala Team nani hapa bali tunazungumzia haki ya mtu tena katika kipindi kigumu!!!

Hapa hata mtu kama Wema nishamtetea sana!!! Juzi tu hapa nilishasema kwanini watu wawe concerned na Linah kwa jambo lisilomuumiza yeyote na wala mtu sio ndugu yenu!!!
Labda na huyo Linah nae anahusika na masuala ya Mond!!
 
Eti mwanao anaona mama ananyonywa kwapa aisee hapa ndo nilimdharau mond kabisa

Kingne mond akiyaangalia yale mazishi jinsi kufuru ilivofanyika pale anajiona ka bwege vle pesa yake anaiona ya madafu
 
...na hujiulizi ni kwa nini rais huyo anakuwa subject ya dunia kimahusiano!? Umasikini ukichanganyikana na ujinga vinakuwa vibaya na hatari zaidi aisee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…