Elections 2010 Daily News: Slaa will not be the fifth president of Tanzania!

This seemingly long post is not explicit. What is it that the author is complaining about? Come out and state clearly what the issue or issues are so that we get the picture. Please do not forget to state the source of the information. All the best
The source of information is himself.
 
Lakini ndugu zangu wa JF hebu tuache kidogo kumjadili Kaimu Mhariri wa Daily News Nd. Mkumwa badala yake tuangalie kama alichoongea kina mshiko wowote. Naepuka kuingia katika mtego wa kumshambulia Nd. Mkumbwa binafsi na kuacha kuangalia suala lenyewe kwa upana mkubwa zaidi unaostahili.

Naomba tujiulize je haya ni maneno yake binafsi Nd. Mkumbwa au yeye anatueleza tu mkakati maalumu uliopo wa kuhakikisha kuwa Dr. Slaa hashindi kamwe? Kimsingi siamini kuwa anachokisema Mkumbwa ni mtazamo rasmi wa gazeti la Serikali la Daily News ila naamini kuwa unaakisi mtazamo rasmi wa Serikali yenyewe ambayo ndiyo hasa mmiliki wa gazeti hili. Nionavyo mimi Mkumbwa amesaidia tu kutufungua macho kwa kutumia kalamu yake.

Mimi nadhani wapenzi, wanachama na mashabiki wa CHADEMA na wapinzani wengine wanatakiwa kujiuliza ni nini hasa kinampa jeuri huyu mtumishi wa umma kuutangazia ulimwengu mzima kuwa Dr Slaa hatashinda kamwe uchaguzi utakaofanyika tarehe 31/10/2010. Ni wakati muafaka sasa kwa CHADEMA na wapinzani wengine kujua (ama ku-anticipate) mikakati ya upande wa pili wa washindani wao. Kimsingi Serikali ya CCM ndiyo mshindani mkubwa wa CHADEMA na wapinzani na ndiyo inayompa Nd. Mkumbwa jeuri ya kuutangazia ulimwengu kuwa Dr Slaa na CHADEMA hawatashinda kamwe.

Mimi siamini kuwa Nd. Mkumbwa ni mbumbumbu kiasi cha kuropoka kuwa Dr Slaa hatashinda wakati hana jinsi yoyote anayoweza kuhakikisha kuwa mchakato wa uchaguzi unamweka madarakani kiongozi anayemtaka yeye. Na sidhani kama Mkumbwa anabahatisha anapojaribu kuufananisha uchaguzi huu na ule wa 1995 ambapo Mrema aliambulia patupu pamoja na kuwa alionekana kuvutia watu wengi wakati ule. Kuna jambo hapo!!!.

Kumbukeni kuwa ni mwaka 1995 ambapo CUF ilitangazwa kuwa mshindi wa uraisi Zanzibar (na Channel Ten baada ya kujumlisha idadi ya kura ya vituo vyote vya uchaguzi) na ikafikia mpaka CCM Zanzibar wakautangazia Ulimwengu kuwa hawatakubali matokeo. Lakini kilichotokea kila mtu anajua.

Naomba tutafakari kwa kina mambo yafuatayo:

  • Je serikali ya CCM haitafanya rafu tulizozizoea za ama kuharibu mwenendo wa uchaguzi ama kuiba kura pale mwenendo unapokwenda kama ulivyopangwa? Kwa wanaokumbuka vizuri mwaka 1995 hapa Dar es salaam matokeo yalifutwa na uchaguzi kurudiwa baada ya wiki mbili. Lakini kabla ya hayo tuliokuwepo Dar tulishuhudia makaratasi ya kupigia kura ama yakicheleweshwa kwa makusudi au kutokufika kabisa kwenye vituo vya kupigia kura.
  • Je wasimamizi wa uchaguzi ambao ni wakurugenzi wa miji wana ubavu wa kutangaza matokeo yasiyoifurahisha CCM ambayo kimsingi ni kwenda kinyume na matakwa ya mwajiri?
  • Je CHADEMA na vyama vingine wana uwezo wa kuweka waangalizi waaminifu wa kura kwenye kila kituo cha kupigia kura nchi nzima? je hawa waangalizi watakuwa na ubavu wa kuhimili vitisho vya makada wa CCM, wasimamizi wa uchaguzi, makamanda wa polisi, maafisa wa usalama wa Taifa, wakuu wa wilaya, wakuu wa mikoa etc?
  • Je CHADEMA na vyama vingine vina uwezo wa kusimamia na kudhibiti zoezi zima la ujumlishaji na utangazaji wa matokeo ya Udiwani, Ubunge na Uraisi nchi nzima? Kumbuka msimamizi wa uchaguzi akisha tangaza mbunge huna jinsi isipokuwa kwenda mahakamani. Kwa uraisi akishatangazwa na NEC ndio imetoka hiyo huwezi hata kwenda mahakamani kudai haki mpaka miaka mitano baadaye utakapojaribu bahati yako tena.
  • Je CHADEMA na vyama vingine wana ubavu wa kuhumili vishindo vya rushwa, ufisadi, ununuzi wa kadi za kupigia kura na mambo yanayofanana na hayo ambayo tunavyoongea tayari yanaendelea?
  • Je mpaka sasa tuna uhakika gani kuwa orodha ya wapiga kura iliyotangazwa na NEC ni ya kweli na kuwa watu wote waliotangazwa na watu hai na siyo watu hewa (fictitious) ambao wamewekwa kimkakati kuongeza idadi ya kura za wagombea wateule?
Haya ni baadhi tu ya mambo ambayo yananifanya nifikirie mara mbili kauli ya Nd. Mkumbwa kuwa Dr Slaa hatashinda kamwe na kuwa kitakachofanyika mwaka 2010 ni sawasawa na kilichofanyika kwa Mrema na Maalimu Seif Sharif Hamad mwaka 1995. Siamini kuwa kinachomfanya Mkubwa aamini hivyo ni kutokana matatizo binafsi ya kifamilia ya Dr. Slaa kama anavyoonesha kweye tahariri yake. Kwani tungetumia kigezo hicho anachokiongelea Mkumbwa kama sifa pekee ya kumchagua rais nadhani tungepata matokeo ya kushangaza sana ya urais.

Nawasilisha.

Tata maneno yako yana mguso mkubwa sana na nitashangaa sana kama watu makini hawatayatumia kama rejeo kwa kazi zao.
 
Huyu Ali Mkumbwa ni mjinga.Mhariri mwenye elimu na akili timamu hawezi kuongea pumba kama hizi.
 
........i makusudi kabisa kuupotosha umma.
Tanzania wins education MDG award

TANZANIA has won the United Nations award for its impressive progress towards attaining universal primary education, some five years ahead of the 2015 deadline set under the Millennium Development Goals (MDGs).

Wonders never cease!!
I have a hunch this Mkunbwa guy is MS ...
 
Yeye anasema media wawe professional, wakati yeye mwenyewe ana declare kuwa Slaa hatakuwa rais wa Tanzania, is this professional? Who is empowerd to declare winners and losers? Daily News or NEC.

Hahaaaaaaaaaaaaaaah heeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeooohooooooooooooooooooooooooooooooooooooohahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Jamani nakufa kwa kicheko. Kumbe ku-declare kuwa Slaa hawezi kuwa Rais ni kosa.Haaaaaaaaaaaaaaaaah.Mbona nyie mnasema kuwa Slaa ndiye atakuwa Rais.

Mimi nilishawaambia kwenye mtandao huu kuwa you guys, you are just wasting wasting your time. Slaa will never never never be the President of the United Republic of Tanzania (RRT). NEVER. Urais siyo jambo la kujifunza kuongoza.
 
Dear my fellow viewer iam happy that everyone can represent his or her idea and his/ her views, well i didnt get the time to pass the all the passage but what i believe and what i see is this year we are going to have the DR W.slaa as our new President from Another political Part most of us we are tied with CCm which has been ruling us 49 years with nothing gain as a Tanzania its is like the time when the Colonialist ruling no Different with CCm i am saying this because I never see a cruelty which CCM doing its better we could not say Tanzania is a Democracy Country and no privilege or nor Human Rights Because when you say the evil thing what they are doing for the benefit of the majority your given a case or been accused in any case or be killed, some of the people have been accused like the Journalist of TBC1 and other who was pured the Acid on his eyes its a shame and i never like this so we need to change from CCM to another part even those who are in CCM as a member i could request them to leave because they never look what is right for them , they just take them for few benefits.
we must give Dr slaa Our Big Yes Vote to be a president of Tanzania 2010-2015-2015-2020 we will see the differents God keep all CCM leadxers Blind so not to see and still our Votes and whoever think to take our vote he will surely die i pray in Lord Almight Name Jesus AMen
 
A vividly pro-Willibrod Slaa weekly tabloid has used our name in a shameful attempt to prop up the Chadema presidential candidate's campaign, suggesting that he was being backed by three quarters of local internet surfers.

In its lead story on Tuesday, the September 22-28 edition of the tabloid deliberately misused an online poll involving a mere 161 visitors to purport that the whole nation was behind Slaa. While noting the tabloid editors' virtual confession that they cannot be believed without quoting the Daily News, we abhor the unprofessional decision to use our name to lend credence to their wildly hopeless adventure.

The editors of the tabloid know that the figures they used are quoted out of context and are absolutely unrealistic. That is why they confess in the fabricated report that very few Tanzanians have access to the internet and that the purported poll results do not reflect what will come out of the October 31 ballot.

So why would they venture out with old poll results today? Vicious anti-establishment fervor at best and malicious conspiracy to settle old scores at worst. That is typical activist journalism practiced by a section of the media, which has openly identified with the opposition and plays down any positive achievement of President Kikwete's government while orchestrating purported failures, mostly made up ones.

The attempt to enlist the support of the Daily News was apparently meant to save another tabloid blushes after carrying an equally wild fabrication to the effect that Synovate had censored results of a poll showing Slaa leading president Kikwete by four points in popularity. The pollster has publicly derided the tabloid and lodged a complaint with the Media Council.

It is high time that section of the media learnt its lessons and returned to professional practice. We think there is nothing particularly wrong in covering presidential aspirants favourably, but the reports must at least be true.
And the truth is that Dr. Willibrod Slaa will not be the fifth president of Tanzania.

The Chadema candidate has a lot of issues to settle, beginning at family level, from which he will need to practice leadership upwards. He will, indeed, garner some votes in October, just like Augustine Mrema in 1995, but that will be it, and the media behind the former priest can quote us on that.

Duuh, Hii editorial kali sana. Tunataka wahariri wa aina hii ambao wako tayari kusema kuwa huyu ni paka mweusi na siyo paka mwekundu.
 
Yeye anasema media wawe professional, wakati yeye mwenyewe ana declare kuwa Slaa hatakuwa rais wa Tanzania, is this professional? Who is empowerd to declare winners and losers? Daily News or NEC.

Hahaaaaaaaaaaaaaaah heeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeooohooooooooooooooooooooooooooooooooooooohahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Jamani nakufa kwa kicheko. Kumbe ku-declare kuwa Slaa hawezi kuwa Rais ni kosa.Haaaaaaaaaaaaaaaaah.Mbona nyie mnasema kuwa Slaa ndiye atakuwa Rais.

Mimi nilishawaambia kwenye mtandao huu kuwa you guys, you are just wasting wasting your time. Slaa will never never never be the President of the United Republic of Tanzania (RRT). NEVER. Urais siyo jambo la kujifunza kuongoza.

wewe umesema , wewe ni nani?
 
nimeshangazwa sana na gazeti hili, ambalo linaendeshwa kwa kodi zetu, anapata wapi ujasiri huu? kila siku gazeti linapambwa na picha ya mgombea wa ccm. ha haya bwana. hatamu ikisha shikwa................
 
Watanzania wameshachoka na kweli wakichagua CCM wale wote wanaoisafishia njia CCM iko siku watalia na kusaga meno...

Yoyote anayepigia kura CCM, chama za mafisadi, wezi, wanyang'anyi naye ni nyang'anyi na fisadi. Na vilio vya maskini, wazee na vijana wasio na ajira viko mikononi mwenu.

hao Daily News si ndiyo akina michuzi wanakula raha tu kusafiri bure, kulala bure kwa hela za wavuja jasho na kuandika ujinga... Ngojeni siku dola inaporomoka.....
 
Naomba tutafakari kwa kina mambo yafuatayo:

  • Je serikali ya CCM haitafanya rafu tulizozizoea za ama kuharibu mwenendo wa uchaguzi ama kuiba kura pale mwenendo unapokwenda kama ulivyopangwa? Kwa wanaokumbuka vizuri mwaka 1995 hapa Dar es salaam matokeo yalifutwa na uchaguzi kurudiwa baada ya wiki mbili. Lakini kabla ya hayo tuliokuwepo Dar tulishuhudia makaratasi ya kupigia kura ama yakicheleweshwa kwa makusudi au kutokufika kabisa kwenye vituo vya kupigia kura.
  • Je wasimamizi wa uchaguzi ambao ni wakurugenzi wa miji wana ubavu wa kutangaza matokeo yasiyoifurahisha CCM ambayo kimsingi ni kwenda kinyume na matakwa ya mwajiri?
  • Je CHADEMA na vyama vingine wana uwezo wa kuweka waangalizi waaminifu wa kura kwenye kila kituo cha kupigia kura nchi nzima? je hawa waangalizi watakuwa na ubavu wa kuhimili vitisho vya makada wa CCM, wasimamizi wa uchaguzi, makamanda wa polisi, maafisa wa usalama wa Taifa, wakuu wa wilaya, wakuu wa mikoa etc?
  • Je CHADEMA na vyama vingine vina uwezo wa kusimamia na kudhibiti zoezi zima la ujumlishaji na utangazaji wa matokeo ya Udiwani, Ubunge na Uraisi nchi nzima? Kumbuka msimamizi wa uchaguzi akisha tangaza mbunge huna jinsi isipokuwa kwenda mahakamani. Kwa uraisi akishatangazwa na NEC ndio imetoka hiyo huwezi hata kwenda mahakamani kudai haki mpaka miaka mitano baadaye utakapojaribu bahati yako tena.
  • Je CHADEMA na vyama vingine wana ubavu wa kuhumili vishindo vya rushwa, ufisadi, ununuzi wa kadi za kupigia kura na mambo yanayofanana na hayo ambayo tunavyoongea tayari yanaendelea?
  • Je mpaka sasa tuna uhakika gani kuwa orodha ya wapiga kura iliyotangazwa na NEC ni ya kweli na kuwa watu wote waliotangazwa na watu hai na siyo watu hewa (fictitious) ambao wamewekwa kimkakati kuongeza idadi ya kura za wagombea wateule?

Je Watanzania waliojindikisha wataamka asubuhi kwenda kupiga kura?
 
Ndugu zanguni nimelala kitandani masikio yako Tanzania .Jana usiku nikiwa hapa nimepata ttaarifa kwamba Kinana na CCM na sasa Daily News wana kila sababu ya kulia lia Wamefanya uchunguzi na kupigisha kura wenyewe CCM na Vyombo vya Serikali kabla na ha yawa wengine walio onywa kusema ukweli .

Ukweli toka ndani kabisa unasema hadi mua huu

Chadema na Slaa ni 45% CCM na Kikwete ni 41%

Kikwete rais wa Nchi kukimbia Mdaharo na baadaye chama chake wamejimaliza .Wanakimbia maswali wanahubiri tu kama kanisani na kuondoka .Watanzania si wajinga bwana .Wameamka na sasa wana imarisha mbinu za kuiba kura . Chadema msiweke wenye njaaa kusimamia wakati wa kura za majumuisho pale ndiyo CCM wanacheza ukienda hata kutema mate basi wanafanyaweli.So chagua watu wa maana kwenye kusimamiia yaani Mawakala.

Good to hear from you brother Lunyungu, Mungu azidi kukutia Nguvu sisi huku tunaendela na Mapambano

Get Well soon broda
 
Mwaka huu CCM watalazimisha ushindi. Uwezo huo wanao kwani dola iko chini yao (yaani haiko huru).

Hicho ndicho kiini cha kiburi cha tahariri hiyo ya huyo kilaza Mkumbwa.
 
...

Naomba tutafakari kwa kina mambo yafuatayo:

  • Je serikali ya CCM haitafanya rafu tulizozizoea za ama kuharibu mwenendo wa uchaguzi ama kuiba kura pale mwenendo unapokwenda kama ulivyopangwa? Kwa wanaokumbuka vizuri mwaka 1995 hapa Dar es salaam matokeo yalifutwa na uchaguzi kurudiwa baada ya wiki mbili. Lakini kabla ya hayo tuliokuwepo Dar tulishuhudia makaratasi ya kupigia kura ama yakicheleweshwa kwa makusudi au kutokufika kabisa kwenye vituo vya kupigia kura.
    ....

  • Mods, ombi: Je yawezekana kuitengenezea thread yake yenyewe hiyo post ya Tata. It is a great post!
 
A vividly pro-Willibrod Slaa weekly tabloid has used our name in a shameful attempt to prop up the Chadema presidential candidate's campaign, suggesting that he was being backed by three quarters of local internet surfers.

In its lead story on Tuesday, the September 22-28 edition of the tabloid deliberately misused an online poll involving a mere 161 visitors to purport that the whole nation was behind Slaa. While noting the tabloid editors' virtual confession that they cannot be believed without quoting the Daily News, we abhor the unprofessional decision to use our name to lend credence to their wildly hopeless adventure.

The editors of the tabloid know that the figures they used are quoted out of context and are absolutely unrealistic. That is why they confess in the fabricated report that very few Tanzanians have access to the internet and that the purported poll results do not reflect what will come out of the October 31 ballot.

So why would they venture out with old poll results today? Vicious anti-establishment fervor at best and malicious conspiracy to settle old scores at worst. That is typical activist journalism practiced by a section of the media, which has openly identified with the opposition and plays down any positive achievement of President Kikwete's government while orchestrating purported failures, mostly made up ones.

The attempt to enlist the support of the Daily News was apparently meant to save another tabloid blushes after carrying an equally wild fabrication to the effect that Synovate had censored results of a poll showing Slaa leading president Kikwete by four points in popularity. The pollster has publicly derided the tabloid and lodged a complaint with the Media Council.

It is high time that section of the media learnt its lessons and returned to professional practice. We think there is nothing particularly wrong in covering presidential aspirants favourably, but the reports must at least be true.
And the truth is that Dr. Willibrod Slaa will not be the fifth president of Tanzania.

The Chadema candidate has a lot of issues to settle, beginning at family level, from which he will need to practice leadership upwards. He will, indeed, garner some votes in October, just like Augustine Mrema in 1995, but that will be it, and the media behind the former priest can quote us on that.

Duuh, Hii editorial kali sana. Tunataka wahariri wa aina hii ambao wako tayari kusema kuwa huyu ni paka mweusi na siyo paka mwekundu.

mimi ni ccm damu ila kwa hili hapana aisee kama unataka wahariri kama hawa ni wewe na ukilaza wako kwangu mimi nooo!
 
Another shameful misdeed by government owned newsmaker!!!! It is high time now for Tanzanians to awaken and take control of their own destiny... Media ya serikali imeshawachagulia watanzania raisi wao. This is extremely unethical... Wanaharakati mko wapi, gazeti hili linapaswa kufungiwa.

"..............And the truth is that DrWillibrod
Slaa will not be the fifth president of Tanzania...................."
 
wewe umesema , wewe ni nani?

Mimi ni nambari wani. Unasemaje?
 
Back
Top Bottom