huyo mungu wako anafurahia anayoyafanya diamond?Acheni wivu wa maendeleo pumbavu zenu hamna hata kiwanja kugamboni vinauzwa milioni 1 au 2 mmekaa mnatokwa na mapovu eti tangu 2009. Laanakum nyie ndo mana hata mungu anawatupa unafikiri mungu anapenda husda ????
Yaan na umbea wote unaishi kwa mamdogo loooooooooooooo na sitak domo anijue mie na badoooo
BOra ujizoeshe kuamini manake ukiona hiyo hati unaweza kudondoka kwa kihoro! By the way, hata ukiona hiyo hati si utasema amechongesha pale mitaa ya kati ili ajifanye na yeye ni baba mwenye nyumba!!!Mi nshasema mpaka nione hati, kwani mtu hwezi kupost nyumba ukasema yako? Ndomo si wa kumwamini kwa kweli
Mkuu umesahau neno moja ambalo linaleta maana kamili,"pure gold plated"
Wengine twafurahia kwa kuona kumbe hatukukosea tulipopenda... si unajua wenye mahaba na Chibu ni watu wa data and figures na hatutaki kuongelea hisia zetu wenyewe! Tukisema huyu anajua basi tuone mafanikio ya kujua kwake kuanzia kwenye shughuli yenyewe na maisha baada ya kazi! Nishakupa sababu ya kwanini tunafurahia, haya sasa, na wewe mwenzetu hebu tujuze basi kisa cha kuponda na kuumia kwako!!!!Ahahahh yote apa hayatuhusu, tusifie au tuponde ni maisha yake
Unataka uzipeleke wapi na wewe? Jamani huyu mwanamke mbea khaa, aya unataka kufanyaje kwanza?
Namalizia nyumha yangu gobaa, nilijichanga hela zangu nilizopata kwa kazi ya umbea nkanunua kiwanja, sikutaka kupanga gharama sana, mwezi wa tano nahamia kwenye pagara lngu
Wengine twafurahia kwa kuona kumbe hatukukosea tulipopenda... si unajua wenye mahaba na Chibu ni watu wa data and figures na hatutaki kuongelea hisia zetu wenyewe! Tukisema huyu anajua basi tuone mafanikio ya kujua kwake kuanzia kwenye shughuli yenyewe na maisha baada ya kazi! Nishakupa sababu ya kwanini tunafurahia, haya sasa, na wewe mwenzetu hebu tujuze basi kisa cha kuponda na kuumia kwako!!!!
Simpendi kwa sababu ya ulimbukeni wake, ndo nini kupiga picha sehemu zote izo? Mi wasanii washamba siwapendi kabisaa japokuwa hongera zake
Dinazarde, huyu mtu wako mpelekee kabisa canter iliyojaa ndimu na visado vya tomato sauce vya kupozea uchachu!!Kafanyeni kazi sasa mda wa kazi huu, sio kutwa kusifia vya wenzio mnadhani mkisifia ndo na nyie mtapata? Tutoleeni upuuzi nfyuu
Postin na nyumba ya mfalme Kiba wakuu
Kafanyeni kazi sasa mda wa kazi huu, sio kutwa kusifia vya wenzio mnadhani mkisifia ndo na nyie mtapata? Tutoleeni upuuzi nfyuu
Yaan leo utatafuta sababu mia ili uponde tu