Daimond Platnumz aonyesha muendelezo wa moja ya Nyumba zake

Daimond Platnumz aonyesha muendelezo wa moja ya Nyumba zake

Acheni wivu wa maendeleo pumbavu zenu hamna hata kiwanja kugamboni vinauzwa milioni 1 au 2 mmekaa mnatokwa na mapovu eti tangu 2009. Laanakum nyie ndo mana hata mungu anawatupa unafikiri mungu anapenda husda ????
huyo mungu wako anafurahia anayoyafanya diamond?
 
Mi nshasema mpaka nione hati, kwani mtu hwezi kupost nyumba ukasema yako? Ndomo si wa kumwamini kwa kweli
BOra ujizoeshe kuamini manake ukiona hiyo hati unaweza kudondoka kwa kihoro! By the way, hata ukiona hiyo hati si utasema amechongesha pale mitaa ya kati ili ajifanye na yeye ni baba mwenye nyumba!!!
 
Mkuu umesahau neno moja ambalo linaleta maana kamili,"pure gold plated"

Hata kama ikiwa pure Gold plated toilet..bado iondoe maana ya kuwa ni gold plated toilet na si Gold toilet...

Bado ni gold plated tuu..ni pure Gold plated kwa kuwa yaliyotumika kunang'arisha ni material ya Gold bila kuchanganywa na material mengine!

Lakini bado sioni hoja ya kusema ni kufuru kabisa maana hiyo ni kawaida sema na hata wasanii wa nje wanavyo kama hivyo..sana tena huko nje inakuwa ni Gold kabisa.

Mi nafikiri huyu kijana ana stahili pongezi kabisa tena sana..maana tuna hitaji kuona wasanii wetu wanafanya maendeleo namna hii kabisa na ni baraka kabisa! Watu walikuwa kila leo wanaulizia kuhusu nyumba yake kuisha ....sasa imekwisha na katuonesha tumpongeze kabisa!
 
Ahahahh yote apa hayatuhusu, tusifie au tuponde ni maisha yake
Wengine twafurahia kwa kuona kumbe hatukukosea tulipopenda... si unajua wenye mahaba na Chibu ni watu wa data and figures na hatutaki kuongelea hisia zetu wenyewe! Tukisema huyu anajua basi tuone mafanikio ya kujua kwake kuanzia kwenye shughuli yenyewe na maisha baada ya kazi! Nishakupa sababu ya kwanini tunafurahia, haya sasa, na wewe mwenzetu hebu tujuze basi kisa cha kuponda na kuumia kwako!!!!
 
Namalizia nyumha yangu gobaa, nilijichanga hela zangu nilizopata kwa kazi ya umbea nkanunua kiwanja, sikutaka kupanga gharama sana, mwezi wa tano nahamia kwenye pagara lngu

Ujitahid uipangilie vizuri si unatujua wambea tulivyooo
 
Wengine twafurahia kwa kuona kumbe hatukukosea tulipopenda... si unajua wenye mahaba na Chibu ni watu wa data and figures na hatutaki kuongelea hisia zetu wenyewe! Tukisema huyu anajua basi tuone mafanikio ya kujua kwake kuanzia kwenye shughuli yenyewe na maisha baada ya kazi! Nishakupa sababu ya kwanini tunafurahia, haya sasa, na wewe mwenzetu hebu tujuze basi kisa cha kuponda na kuumia kwako!!!!

Simpendi kwa sababu ya ulimbukeni wake, ndo nini kupiga picha sehemu zote izo? Mi wasanii washamba siwapendi kabisaa japokuwa hongera zake
 
Kafanyeni kazi sasa mda wa kazi huu, sio kutwa kusifia vya wenzio mnadhani mkisifia ndo na nyie mtapata? Tutoleeni upuuzi nfyuu
 
Simpendi kwa sababu ya ulimbukeni wake, ndo nini kupiga picha sehemu zote izo? Mi wasanii washamba siwapendi kabisaa japokuwa hongera zake
Huna lolote, kinachokuuma wewe, hiki hapa: warumi.jpg
 
Dah, Toilet ya diamond kama ya kwangu kabisa, sema ya kwangu nimechanganya gold and diamond planted.
 
Kafanyeni kazi sasa mda wa kazi huu, sio kutwa kusifia vya wenzio mnadhani mkisifia ndo na nyie mtapata? Tutoleeni upuuzi nfyuu

Zarinah ndani ya nyumbaaaaaaaa uwiiii sipati picha hiyo dirt game 😆😆😆
 
Hizi ni nyumba mbili tofauti jamani labda ndio katika hizo 10 hiyo ya juu ya tisa
 
Back
Top Bottom