Daimond Platnumz aonyesha muendelezo wa moja ya Nyumba zake

huko IG watu wanatukanana mama zao jamani khaaaa!! ngastuka!!! sijui wanapata wapi huo ujasiri aiseee, at the same time aliyewatumbua nyongo yupo STATE HOUSE anacheza dirt game na mutoto mutamu ivi.
 
Simpendi kwa sababu ya ulimbukeni wake, ndo nini kupiga picha sehemu zote izo? Mi wasanii washamba siwapendi kabisaa japokuwa hongera zake

hahahahaaa binamuuuu, mi najua unawapenda tuu wale wasanii wasiopenda show off, si etii?? wale ambao mambo yao kimya kimyaaa kama simba simba jike vile.
 
Nyumba yenyewe kimeo, imebomoka, ninefuraijee, Dinazarde umeona nyumba ya boss ukuta umevunjika? Nimefuraije maana siku yangu ilikuwa mbaya toka hasubuhi, sasa naweza kulala kwa amani

hahahahahahahahahahaaaa alafu sijui kwani nini diss zako hata hazinipi hasira
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha huu uzi wachawi wa kukandia mafanikio ya watu hawatokosa. Subiri waje,nadhani hawajatoka makaburini kuwanga.

nakuapia hawatothubutu n'gooo kuleta kwato zao hapa maanake watasutwa na kile wakiandikacho wenyewe. unafikiri hawapiti hapa?? mi mbona naona vivuli vyao wanashuka wanapandaaaa, wanakaa na wanasimamaa, wanaandika wanafuta, buhahahahahaaa, moyo wameshikilia mkononi, taulo begani maanake jootrooo hasira.
 

hivi kwani hapo kosa lake nini labda, may be u got a point alafu sisi tunakurupuka tu kukuzodoa, twende taratibu, hiyo myumba ni ya diamond dhamani yake ipo pale pale miaka nenda rudi, hilo sink la gold if at all its true (mimi sijawahi vaa gold so sijui inavyofanana) ni la kwake, (milioni 70 yake ipo hapo fixed) haya tuasume hiyo kesho yako imemfika paa, gafla diamond mambo yamemwendea kombo akashindwa kuimba tena labda, nyumba ya kuishi si atakuwa nayo?? sink la M70 si analingofoa hapo anabandika hapo la elfu 20 aligeuza pesa anafungua biashara yake ya kuuza maji tandale?? au any of his convenience business?? au labda wewe hapo shaka yako hasa nini juu ya alichofanya???
 
maskini hadi nimekuonea huruma yaani, sasa siku sauti yake ikikauka si ndio siku amekufa jamani. au umemtabiria kuna siku atakuwa bubu??? walahii hilo sink moja tuu litatosha kumpeleka india akawekewe sauti ya bandia. ndipo hapo utakapojua kama alichokifanya leo kinamfaa kwa kesho au hakimfai.
 
For my money this kind of flossin' can prove to be detrimental in the future.

The showbiz industry is a dog-eat-dog world where young new artists are always looking to become the next big [super]star and folks are also kind of longing for someone new to breakout.

Diamond Platnumz will not stay on top forever for longevity in his line of work doesn't come by very often.

The day he falls on hard times these photos could come back to bite him.

I'd hate to say I said so.....
 

Sijatoka na kitu hapa yani wale walio elewa watu translate eeee!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…