Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
Postin na nyumba ya mfalme Kiba wakuu
huyo mtu muacheni jamani hapendagi show off jamani, mbona mnakosa uelewa??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Postin na nyumba ya mfalme Kiba wakuu
Zarinah ndani ya nyumbaaaaaaaa uwiiii sipati picha hiyo dirt game 😆😆😆
Duh mwanaume.unaringishia jiko, bafu kweli ushamba mzigo wa maweeeeee!
eti shogaa, dirt game ndio game gani eti, ni kama karata hiviiii......au???
huyo mtu muacheni jamani hapendagi show off jamani, mbona mnakosa uelewa??
Simpendi kwa sababu ya ulimbukeni wake, ndo nini kupiga picha sehemu zote izo? Mi wasanii washamba siwapendi kabisaa japokuwa hongera zake
Hiyo nyumba sio ya diamond mbona? Ni ya kinje ipo tegeta
Nyumba yenyewe kimeo, imebomoka, ninefuraijee, Dinazarde umeona nyumba ya boss ukuta umevunjika? Nimefuraije maana siku yangu ilikuwa mbaya toka hasubuhi, sasa naweza kulala kwa amani
Ni vyake we vyako fichaa
Hahahaha huu uzi wachawi wa kukandia mafanikio ya watu hawatokosa. Subiri waje,nadhani hawajatoka makaburini kuwanga.
mkuuu...kuna kupanda na kushuka....sikatai,ila ukifanya maamuzi ya kihasara hasara...obviously huna muda mrefu utaanguka,anyway mwenyewe ndio atapima hapa nani anamuombea his downfall ni mie au nyie fan wake msiotaka kumushauri kwa kuogopa kuonekana au kuambiwa mna wivu.
maskini hadi nimekuonea huruma yaani, sasa siku sauti yake ikikauka si ndio siku amekufa jamani. au umemtabiria kuna siku atakuwa bubu??? walahii hilo sink moja tuu litatosha kumpeleka india akawekewe sauti ya bandia. ndipo hapo utakapojua kama alichokifanya leo kinamfaa kwa kesho au hakimfai.Hicho anachofanya ni upuuzi..hiyo sauti siku ikikauka sijui ataanza kubandua hivyo vipande kimoja kimoja na kwenda kuviuza kwa kiumbe!..nilikua namuweka kundi tofauti na wenzake kumbe ndo wale wale. Mwenzake dudu baya sasa mwizi wa simu sasa yeye mwache ajione watu wataendelea kupenda sauti yake mpaka anazeeka.
Msanii Diamond Platnumz amepost moja ya nyumba yake akisema hiyo ni moja ya kumi ya nyumba alizonazo, huku akisema ina vitu kama gym, jaccuzi,swimming pool, studio, pooltable, lounge etc
View attachment 237154
View attachment 237155
View attachment 237157
Na mimi nitasoma sana, ili nije nimiliki moja kama hiyo. Si Mnasema Elimu ndio Ufunguo wa Maisha?
hahahahaaa binamuuuu, mi najua unawapenda tuu wale wasanii wasiopenda show off, si etii?? wale ambao mambo yao kimya kimyaaa kama simba simba jike vile.
For my money this kind of flossin' can prove to be detrimental in the future.
The showbiz industry is a dog-eat-dog world where young new artists are always looking to become the next big [super]star and folks are also kind of longing for someone new to breakout.
Diamond Platnumz will not stay on top forever for longevity in his line of work doesn't come by very often.
The day he falls on hard times these photos could come back to bite him.
I'd hate to say I said so.....