Daimond Platnumz aonyesha muendelezo wa moja ya Nyumba zake

Ana nyumba 10 kama hizo, na pale Sinza napo amejenga?
 
Hahahah wakati we unaonesha picha za KFC na nandoz wenzako wanaonesha swimming, Mchawi si lazma akuroge hata akikuchukia bila sababu. Dogo anastahili pongezi ana demu mkali, usafiri mkali nyumba kali we endelea kukimbizanaa ma Land lord na ukija kwenye kugombea daladala unakosa seat unapaka rangi kwenye bomba(kushika) basi hasira zote zinaishia kwa mwenzako wa form 2
 
Jombaa umeongea la maana mana watu wengi wanazani kupanga maana yake huna nyumba yako hawajui kuwa waliopanga wengi ndo wenye mijengo ya maana
 
Kwahiyo anawakaribisha panya road waende kutumia fulsa
 
mnh sijui ni kweli au uongo,ila Diamond careful kuna kesho,wengi tu maisha yanawabadilikia inabaki kukumbuka zamani...acha kufuru mkuu
 
Hoyaa, hatwendi hivyo, hatufuti kauli kwa ku-edit ama kufuta post wewe, nimekurudishia kauli yako hii hapa: Na habari rasmi ni hii hap












[/QUOTE]

hahahahahahahahaaaaa me leo ni vicheko tu, manake watu wanahanya hanya jamani, hadi huruma, Dangote kagawa ndimu za kutosha huko IG hakuna mwenye hamu nae.
 
hapana, sina kesi na wewe.... try to put yourself in his shoes..unapofanikiwa ndo kila mtu anajiona anajua kushauri...

Lets just believe that he knows what he is doing, afterall, we only live ONCE.

you are right, naomba pia uwepo...when atakapoenda bankrupt ,.....jumapili njema......:yo:
 
alafu diamond alivyona makusudi jamani, toka mwanzo anaoneshaga hicho kisehemu cha nyuma hicho cha swimming pool tuu, waropokaji kama kawaida wao wakajishetua kijumba gani hicho? hiyo nyumba kibanda? kibaya kwanza kimebanana leo dadadadadeki zake si akaigeuza kwa upande wa pili, si akatuingiza mpaka ndani pipo chokesti, pipo nyanga nyanga, pipo aibuuuuuu! buuuu!! kumbukeni huu usemi jamani, OMBEA ADUI YAKO AISHI MIAKA MINGI ILI SIKU UKIJA KUMGEUZIA FRONT PAGE YAKO APATE DEGEDEGE.
 

kaah! hatariiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…