Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
Hahahah wakati we unaonesha picha za KFC na nandoz wenzako wanaonesha swimming, Mchawi si lazma akuroge hata akikuchukia bila sababu. Dogo anastahili pongezi ana demu mkali, usafiri mkali nyumba kali we endelea kukimbizanaa ma Land lord na ukija kwenye kugombea daladala unakosa seat unapaka rangi kwenye bomba(kushika) basi hasira zote zinaishia kwa mwenzako wa form 2
Wachawi mnajitahidi kuponda huku roho zinawaumaje,cc Kim nana Evelyn Salt
you are right, naomba pia uwepo...when atakapoenda bankrupt ,.....jumapili njema......:yo:
alafu diamond alivyona makusudi jamani, toka mwanzo anaoneshaga hicho kisehemu cha nyuma hicho cha swimming pool tuu, waropokaji kama kawaida wao wakajishetua kijumba gani hicho? hiyo nyumba kibanda? kibaya kwanza kimebanana leo dadadadadeki zake si akaigeuza kwa upande wa pili, si akatuingiza mpaka ndani pipo chokesti, pipo nyanga nyanga, pipo aibuuuuuu! buuuu!! kumbukeni huu usemi jamani, OMBEA ADUI YAKO AISHI MIAKA MINGI ILI SIKU UKIJA KUMGEUZIA FRONT PAGE YAKO APATE DEGEDEGE.
Maskini diamond nyumba yake imeanguka ukuta ...wachawi hawa mmmh
you are right, naomba pia uwepo...when atakapoenda bankrupt ,.....jumapili
njema......:yo:
mwenzangu imeanguka upande mzima nyumba yote iko uchi hata kilichompata sijui nini ningekua naweza kuweka picha hapa ningeweka....subiri watu watakuja nazoWacha wee...amejenga bondeni au??
Heheeee watu lazima wajambe chechee
Ni gold kwelii loo!!!!
Mkuu akifilisika si atakiuza.
Dhahabu haishuki thamani, ila mim siamin kama hiyo ni dhahabu kweli,im not conviced.
Duh binamu ungerudi tu kwenye ubuyu wa mabongomuviz...Dogo ata kama haumkubali ila kajijenga vizuri sana.
Maskini diamond nyumba yake imeanguka ukuta ...wachawi hawa mmmh
TANGAZO TANGAZO TANGAZO.
Tunapenda kuwatangazia watanzania wote wenye roho za kwanini kwamba mwezi ndio huu unefikia ukingoni hivyo msitumie akili nyingi kuiponda nyumba ya platnumz mkasahau kufikiria ni namna gani mtapata pesa ya kulipa kodi ya vyumba vyenu mlivyopangisha.Kumbuka baba mwenye nyumba atakapokutupia kigodoro chako kwa kushindwa kulipa kodi Diamond atakua akiogolea kwenye swimingpool yake na East Africas sweetheart Zarina.Lol