Daimond Platnumz aonyesha muendelezo wa moja ya Nyumba zake

Daimond Platnumz aonyesha muendelezo wa moja ya Nyumba zake

Hahahah wakati we unaonesha picha za KFC na nandoz wenzako wanaonesha swimming, Mchawi si lazma akuroge hata akikuchukia bila sababu. Dogo anastahili pongezi ana demu mkali, usafiri mkali nyumba kali we endelea kukimbizanaa ma Land lord na ukija kwenye kugombea daladala unakosa seat unapaka rangi kwenye bomba(kushika) basi hasira zote zinaishia kwa mwenzako wa form 2

Hahahahahahahahaaaaa umenichekesha
 
you are right, naomba pia uwepo...when atakapoenda bankrupt ,.....jumapili njema......:yo:

"Never surrender, it's all about the faith you got: don't ever stop, just push it 'till you hit the top and if you drop, at least you know you gave your all to be true to you, that way you can never fall"
― Tupac Shakur
 
Maskini diamond nyumba yake imeanguka ukuta ...wachawi hawa mmmh
 
alafu diamond alivyona makusudi jamani, toka mwanzo anaoneshaga hicho kisehemu cha nyuma hicho cha swimming pool tuu, waropokaji kama kawaida wao wakajishetua kijumba gani hicho? hiyo nyumba kibanda? kibaya kwanza kimebanana leo dadadadadeki zake si akaigeuza kwa upande wa pili, si akatuingiza mpaka ndani pipo chokesti, pipo nyanga nyanga, pipo aibuuuuuu! buuuu!! kumbukeni huu usemi jamani, OMBEA ADUI YAKO AISHI MIAKA MINGI ILI SIKU UKIJA KUMGEUZIA FRONT PAGE YAKO APATE DEGEDEGE.

Hahaa.
Kuna watu wana wivu sijapata kuona.
 
TANGAZO TANGAZO TANGAZO.
Tunapenda kuwatangazia watanzania wote wenye roho za kwanini kwamba mwezi ndio huu unefikia ukingoni hivyo msitumie akili nyingi kuiponda nyumba ya platnumz mkasahau kufikiria ni namna gani mtapata pesa ya kulipa kodi ya vyumba vyenu mlivyopangisha.Kumbuka baba mwenye nyumba atakapokutupia kigodoro chako kwa kushindwa kulipa kodi Diamond atakua akiogolea kwenye swimingpool yake na East Africas sweetheart Zarina.Lol
 
Wacha wee...amejenga bondeni au??
mwenzangu imeanguka upande mzima nyumba yote iko uchi hata kilichompata sijui nini ningekua naweza kuweka picha hapa ningeweka....subiri watu watakuja nazo
 
Nyumba ya Diamond muonekano kwa upande wa juu
o-RIHANNA-MANSION-570.jpg
 
Kwani muziki ndio una jenga nyumba. .watu wana michongo yao wanafanya wana ongeza kipato wana jenga... Labda professor Jay ndio atakua kajenga nyumba kwa mziki.. manake miaka 10 ana jenga nyumba
 
Duh binamu ungerudi tu kwenye ubuyu wa mabongomuviz...Dogo ata kama haumkubali ila kajijenga vizuri sana.

Nyumba yenyewe kimeo, imebomoka, ninefuraijee, Dinazarde umeona nyumba ya boss ukuta umevunjika? Nimefuraije maana siku yangu ilikuwa mbaya toka hasubuhi, sasa naweza kulala kwa amani
 
Last edited by a moderator:
TANGAZO TANGAZO TANGAZO.
Tunapenda kuwatangazia watanzania wote wenye roho za kwanini kwamba mwezi ndio huu unefikia ukingoni hivyo msitumie akili nyingi kuiponda nyumba ya platnumz mkasahau kufikiria ni namna gani mtapata pesa ya kulipa kodi ya vyumba vyenu mlivyopangisha.Kumbuka baba mwenye nyumba atakapokutupia kigodoro chako kwa kushindwa kulipa kodi Diamond atakua akiogolea kwenye swimingpool yake na East Africas sweetheart Zarina.Lol

We kodi umelipa? Au mnasubir ndomo awalipie
 
Mnavyojishaua kama mmeambiwa mtaishi humo vile, nfyuuu ngoja niwahi zangu airport mie niende zangu jamaica, bongo kazi kusifia uchawi tu
 
Back
Top Bottom