Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
Hahahah wakati we unaonesha picha za KFC na nandoz wenzako wanaonesha swimming, Mchawi si lazma akuroge hata akikuchukia bila sababu. Dogo anastahili pongezi ana demu mkali, usafiri mkali nyumba kali we endelea kukimbizanaa ma Land lord na ukija kwenye kugombea daladala unakosa seat unapaka rangi kwenye bomba(kushika) basi hasira zote zinaishia kwa mwenzako wa form 2
Hahahahahahahahaaaaa umenichekesha