Daimondi hatakuwepo fiesta, clouds wamemkata, na mi siendi fiesta basi!

Daimondi hatakuwepo fiesta, clouds wamemkata, na mi siendi fiesta basi!

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,465
Clouds wamesafiri mpaka
marekani kumtafuta jay z
Uganda Chameleoni ,
Tecno na Yemi Alade,
Wakakosa nauli ya kwenda Tandale kumwalika Diamond
Na mi sitaingia sasa fiesta yao tuone hizo bilioni 5 za Jay z watapata wapi!!!!!!!!!!!
 
Diamond ana mkataba na VODA, hawezi akaingia kwenye matangazo ya Fiesta ambayo yanadhaminiwa na tiGo...
 
Back
Top Bottom