George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Yamekua hayo tena..!?huna akili umefilisika kama diamond
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yamekua hayo tena..!?huna akili umefilisika kama diamond
Fiesta ni juice mpya za bakhresa
Diamond ni kamishna ya elimu ya uchawi sumbawanga
Na sallam atakuwapo backstage kama kawa..King kiba aka king mswati nasikia atakuepo kwani ndio matamasha yake hupenda kumtangaza
hahahah mkuu usimisiniambie wewe ndio unamjuja Jay z?Hivi jay z unamjua au unamsikia...yule jamaa ana mashauzi hadi bas...sidhani kama clouds wanaeza kumleta..!! Hizo ni kiki za clouds
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Fiesta ni juice mpya za bakhresa
Diamond ni kamishna ya elimu ya uchawi sumbawanga
Fiesta ni mkuu wa mkoa na diamond ni AlmasiFiesta ni kitu gani?? Na huyo diamond ni nani???
Kwakua una pesa tengeneza show mpya ambayo utaeza kuwalipa wenzetu wanaofanya mziki.sio kupuuza puuza tuFiesta ni kitu gani?? Na huyo diamond ni nani???
Unajua maana ya kupuuza??? Nikisema wewe ndiye unapuuza ntakua nimekosea????Kwakua una pesa tengeneza show mpya ambayo utaeza kuwalipa wenzetu wanaofanya mziki.sio kupuuza puuza tu
iwe kaisiki maweHahahahaa
Lol
Jf Buana ukiuliza ujinga na wewe unajibiwa ujinga...ha ha haFiesta ni juice mpya za bakhresa
Diamond ni kamishna ya elimu ya uchawi sumbawanga
😀Fiesta ni kitu gani?? Na huyo diamond ni nani???
Huu ndio ukweli uliopo hawezi oleww na mabwana wawili, yule ni msanii mkubwa na ana mkataba mnono na voda, so hawezi kushiriki tamasha la linalodhaminiwa na tigo, na mkataba unamfunga..........
Japo ukiangalia video zake za youtube zinazo onesha behind-the-scenes ya SALOME zinavyoanza utagundua kitu kwa huyu jamaa kuhisu tigo.
ndio mnakuwaga wale wambele kabisa ninyiFiesta ni kitu gani?? Na huyo diamond ni nani???
Hivi bado unaamini LAKI si pesa?Diamond amechuja mno..
Hujajibu maswali yangu!! Btw unaposema mnakuaga unamaanisha akina nani???ndio mnakuwaga wale wambele kabisa ninyi