Daimondi hatakuwepo fiesta, clouds wamemkata, na mi siendi fiesta basi!

Daimondi hatakuwepo fiesta, clouds wamemkata, na mi siendi fiesta basi!

Diamond ameingia mkataba na Vodacom, so hataweza kuperform show ilidhaminiwa na Tigo.
 
Fiesta ni kitu gani?? Na huyo diamond ni nani???
Diamond ni
1: Baba tiffa
2:dangote
3:Simba
4plutnumz
5:Jini chafu kabisa roho mbaya
6;Chibu dee chibu dii
7:Kwa kagame walisema a man himself from tanzania
😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom