Mustaphagentleman
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 3,953
- 3,022
Mkataba wa Vodacom unamzuia na pia voda wanampa hela nyingi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona nimeangalia kwenye web yake sijaiona hii product inaitwa "fiesta"??Fiesta ni juice mpya za bakhresa
Diamond ni kamishna ya elimu ya uchawi sumbawanga
Niliwahi kumuona kule mwaduiKokutona unamfahamu Dayamondi?
Huu ndio ukweli uliopo hawezi oleww na mabwana wawili, yule ni msanii mkubwa na ana mkataba mnono na voda, so hawezi kushiriki tamasha la linalodhaminiwa na tigo, na mkataba unamfunga..........Diamond ana mkataba na VODA, hawezi akaingia kwenye matangazo ya Fiesta ambayo yanadhaminiwa na tiGo...
Alikuwa Rangi gani na sasa kachuja na kubaki rangi gani?Diamond amechuja mno..
HahahahaNasikia yupo anaishi kule Maramba, amelima mananasi japo uganga haachi...
Clouds wamesafiri mpaka
marekani kumtafuta jay z
Uganda Chameleoni ,
Tecno na Yemi Alade,
Wakakosa nauli ya kwenda Tandale kumwalika Diamond
Na mi sitaingia sasa fiesta yao tuone hizo bilioni 5 za Jay z watapata wapi!!!!!!!!!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Fiesta ni juice mpya za bakhresa
Diamond ni kamishna ya elimu ya uchawi sumbawanga
Fiesta sijui ni kitu gani ila diamond ni almasiFiesta ni kitu gani?? Na huyo diamond ni nani???
Hayupo, "weupe" washamhamishia kwao!Niliwahi kumuona kule mwadui
Sijui yupo badooo[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Magazeti ya udaku bana..sijui taaluma wanapata wapi..wapo kimbeya mbeya sana
WanadhambiiiHayupo, "weupe" washamhamishia kwao!
Yap...Diamond amechuja mno..
huna akili umefilisika kama diamondYap...
AMECHUJA baadhi ya MATAMASHA ambayo hayafiki kiwango cha pesa anachohitaji...
Amebakisha MATAMASHA yanayomlipa kiasi cha pesa anachohitaji..!
Diamond huwa ANACHUJA matamasha ya kuperform,sio kama yule MWINGINE ambaye kila TAMASHA anaperform..!