Daimondi hatakuwepo fiesta, clouds wamemkata, na mi siendi fiesta basi!

Diamond anamkataba na Voda na Fiesta imedhaminiwa na Tigo hvyo hatoweza shiriki
 
Wadogo fanyeni kazi mtafafute sarafu hao akina Diamond na Kiba wanakomaa kusaka sarafu hakika dada na mademu zenu watakazwà na hao wadogo wenzenu mpaka mjute maana mnawaza kua wao wakati wenzenu wanasonga mbele mnatumika kipuuzi maana kila siku mnawaza Kiba na Diamond.....Nah hard feelings tho'
 
Hivi jay z unamjua au unamsikia...yule jamaa ana mashauzi hadi bas...sidhani kama clouds wanaeza kumleta..!! Hizo ni kiki za clouds
hahahah mkuu usimisiniambie wewe ndio unamjuja Jay z?
 
Fiesta ni juice mpya za bakhresa
Diamond ni kamishna ya elimu ya uchawi sumbawanga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Muache kutunga yaani wewe pia mleta mada, Diamond yupo na contract ya Vodacom sasa hivi. Na fiesta inadhaminiwa na Tigo, so fikiria.

Ila hata kama hayupo kwani si kunawasanii wengine. muzoee kufurahia, sio kutafuta sababu like kusema amekatwa.
 

Dakika ya ngapi? nikaangalie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…