Kwa hiyo aliacha kazi,sijakuelewa na mauaji yake na kuwa polisi!Hili nina uhakika nalo kuwa Daisle ulomi alikuwa askari wa jeshi la Polisi Tanzania ila sina uhakika kama aliachana na hiyo kazi(Hapa ndipo swali lilipo kuhusu kifo chake, Ulomi kauawa) maana ni siku nyingi sijaonana naye ila ufahamu wangu na hata kiapo naweza thibitisha kuwa Daisle ulomi alikuwa askari wa jeshi la polisi Tanzania.
N.B; Nilikutana na Daisle Simon Ulomi at Tumaini university Dar es Salaam College(Tudarco).
He was a good brother, sikutegemea km kuna siku atauawa kikatili hivi...
Pumzika kwa amani kamanda DView attachment 3178324
ajali ni kitu mbaya sana ambayo aichagui ulikua nani wapi.Hili nina uhakika nalo kuwa Daisle ulomi alikuwa askari wa jeshi la Polisi Tanzania ila sina uhakika kama aliachana na hiyo kazi(Hapa ndipo swali lilipo kuhusu kifo chake, Ulomi kauawa) maana ni siku nyingi sijaonana naye ila ufahamu wangu na hata kiapo naweza thibitisha kuwa Daisle ulomi alikuwa askari wa jeshi la polisi Tanzania.
N.B; Nilikutana na Daisle Simon Ulomi at Tumaini university Dar es Salaam College(Tudarco).
He was a good brother, sikutegemea km kuna siku atauawa kikatili hivi...
Pumzika kwa amani kamanda DView attachment 3178324
Polisi wamesema alipata ajaliajali ni kitu mbaya sana ambayo aichagui ulikua nani wapi.
ni muhimu kua waangalifu na kusingizia sheria za usalama barabarani.
R.I.P Ulomi, ghafla imebaki stori tu dah! 😢
Ni kweli. Deslie o lovel alisoma makumira sec, nikiwa form 1 yeye ndo alikuwa anamaliza form 4. Mara ya mwisho miaka ya 2012 au 2013 nilimuona Dar es salaam akiwa ni traffic policeWakati nakutana naye alikuwa askari baadaye tukapotezana ila baadaye nilikuja wasiliana naye akanambia yupo USA alikuwa akiongeza elimu
Nukuu "Ulomi aliondoka eneo lake huku akitumia pikipiki namba MC 415 DQC"ajali ni kitu mbaya sana ambayo aichagui ulikua nani wapi.
ni muhimu kua waangalifu na kusingizia sheria za usalama barabarani.
R.I.P Ulomi, ghafla imebaki stori tu dah! 😢
Yeye alikua form 4 mwaka gani kama utakumbuka, Makumira nimepita hapo enzi za Mungure (R.I.P)Ni kweli. Deslie o lovel alisoma makumira sec, nikiwa form 1 yeye ndo alikuwa anamaliza form 4. Mara ya mwisho miaka ya 2012 au 2013 nilimuona Dar es salaam akiwa ni traffic police
Ni muhimu sana kuwa waangalifu barabarani, Lakini ni muhimu zaidi kuzingatia sheria za usalama barabarani hasa nyakati hizi kuelekea sherehe za Christmas na mwaka mpya 2025🐒Nukuu "Ulomi aliondoka eneo lake huku akitumia pikipiki namba MC 415 DQC"
Umewaelewa polisi lkn?, hakuna cha ajali wala nn
Policcm wameshafanya yao huku wafuasi wao wakifurahia mauaji hayo.ajali ni kitu mbaya sana ambayo aichagui ulikua nani wapi.
ni muhimu kua waangalifu na kuzingatia sheria za usalama barabarani.
R.I.P Ulomi, ghafla imebaki stori tu dah! 😢
Mimi nakuelewa sn unachojaribu kufanya, unapoteza wasiokua na taarifa sahihi unang'ang'ana kuaminisha uma taarifa ya hao polissm, ndo maana unaquote Kila taarifa inayoonesha polissm waongo.sio sawa mzee, wote tutakufa/tutanyamaza😡😡Ni muhimu sana kuwa waangalifu barabarani, Lakini ni muhimu zaidi kuzingatia sheria za usalama barabarani hasa nyakati hizi kuelekea sherehe za Christmas na mwaka mpya 2025🐒
ni muhimu ukazingatia sana maelezo yangu ya msingi, itakusaiadia sana..Huyu kauawa, vagabond imetumika tu
Alikuwa Under cover au mpelelezi? Maana umesema huna uhakika kama liachana nalo ,inakuwaje una uhakika alikuwa askari halafu hauna uhakika kama aliacha?alikuwa askari wa jeshi la Polisi Tanzania ila sina uhakika kama aliachana
ni muhimu sana kuzingatia maelezo mahususi, itakusaiadia..Policcm wameshafanya yao huku wafuasi wao wakifurahia mauaji hayo.