Daisle Ulomi aliwahi kuwa askari, jeshi la polisi linapaswa kuwa na majibu

Daisle Ulomi aliwahi kuwa askari, jeshi la polisi linapaswa kuwa na majibu

Kuna post nimeisoma usk huu ya lema God bless,alikua anajaribu kuandika alichoambiwa juu ya Ulomi. ILe post wakati naisoma ilikua na dk 4 Toka ameipost, ajabu nataka niifungue niendelee kusoma para za chini naona imefutwa ghafla. Na Yale niliyobahatika kusoma inaonesha jamaa alitoka upolisi akahamishiwa kitengo...badae sijui opareshen zao zikawaje jamaa sijui akaropoka kwa wazee wake vitu flan flan sa nikashindwa endelea maana ilifutwa chap. Inaonesha Kuna taarifa alivujisha hawakupenda waka mu eliminate. Hapa naona Kuna story za aliacha upolisi, sijui nilipotezana nae nikaja kumpata akaniambia Yuko USA anasoma🤔.hii week tutasikia mengi kuhusu Ulomi.
 
Mimi nakuelewa sn unachojaribu kufanya, unapoteza wasiokua na taarifa sahihi unang'ang'ana kuaminisha uma taarifa ya hao polissm, ndo maana unaquote Kila taarifa inayoonesha polissm waongo.sio sawa mzee, wote tutakufa/tutanyamaza😡😡
Gentleman,
Amini Mungu Pekee, porojo na imani potofu za ushirkina vitakuchelewesha tu.

ni muhimu sana kuzingatia mawaidha yangu, bila kuweka tafsiri yako potofu yoyote ile. Mimi sijahubiri kwa wadau eti waamini chochote bali nimeshauri tu juu ya umuhimu wa kua waangalifu na wenye kuzingatia sheria za barabarani, na si vinginevyo.

Ajali ni kitu mbaya sana aise hasa ikikukuta uko pekeyako 🐒
.
R.I.P Ulomi
 
Hapo hujaelewa nini?
Alikuwa Under cover au mpelelezi? Maana umesema huna uhakika kama liachana nalo ,inakuwaje una uhakika alikuwa askari halafu hauna uhakika kama aliacha?
Wakati nafahamiana naye miaka ya 2015 alikuwa askari polisi, kwa miaka hii ya 2024 sina uhakika kama alikuwa askari au aliachana na uaskari.
Umeelewa mang'ong'o?
 
Gentleman,
Amini Mungu Pekee, porojo na imani potofu za ushirkina vitakuchelewesha tu.

ni muhimu sana kuzingatia mawaidha yangu, bila kuweka tafsiri yako potofu yoyote ile. Mimi sijahubiri kwa wadau eti waamini chochote bali nimeshauri tu juu ya umuhimu wa kua waangalifu na wenye kuzingatia sheria za barabarani, na si vinginevyo.

Ajali ni kitu mbaya sana aise hasa ikikukuta uko pekeyako 🐒
.
R.I.P Ulomi
Nakuelewa chawa. tuna uwezo tofauti humu wa kusoma katikati ya mistari..Kila la kheri
 
Hili nina uhakika nalo kuwa Daisle ulomi alikuwa askari wa jeshi la Polisi Tanzania ila sina uhakika kama aliachana na hiyo kazi(Hapa ndipo swali lilipo kuhusu kifo chake, Ulomi kauawa) maana ni siku nyingi sijaonana naye ila ufahamu wangu na hata kiapo naweza thibitisha kuwa Daisle ulomi alikuwa askari wa jeshi la polisi Tanzania.

N.B; Nilikutana na Daisle Simon Ulomi at Tumaini university Dar es Salaam College(Tudarco).
He was a good brother, sikutegemea km kuna siku atauawa kikatili hivi...
Pumzika kwa amani kamanda DView attachment 3178324
Tujitahidi tuwe raia waaminifu Kwa jamuhuri na tufanye kazi halali zinazoeleweka plus tusiwe na upande Bali upande wa jamuhuri kama mimi!!

Ukiwa upande wa jamuhuri na were sio chawa wa kufanikisha ushindi wa yeyote basi utakua salama tu kwakweli!!
 
Back
Top Bottom