BIN NUN
JF-Expert Member
- May 23, 2014
- 3,477
- 7,085
Unaweza eleza namna maboss zake walivomuua?Bro, ajali ya kutengenezwa hiyo hakuna cha nn wala nn nasema tena Ulomi kauawa na mabosi zake
Na umesema hujui Kama alishaacha uaskari au bado alikuwa anatumikia asa Kama Hilo hujui umejuaje ameuliwa na maboss zake wepi ambao hujui Kama alikuwa bado Yuko chini Yao au alishaachana nao!