milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Jeshi la Polisi wamenyamaza kimya,utadhani wamefiwa na dogHuyu jamaaa alikuwa askari..ila alikuwa ameacha kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jeshi la Polisi wamenyamaza kimya,utadhani wamefiwa na dogHuyu jamaaa alikuwa askari..ila alikuwa ameacha kazi
Mkuu, tuyaache, amekwishakufa au kuuwawa hatorudi. Bahati mbaya kila unavyojitetea au kutetea hoja unaongeza maswali na hofu hata kwa wana JF. Barikiwa na kwa heri.natumia maneno kidogo mno kuwapa uelewa na ufahamu wa masula haya gentleman,
nguvu mie sina,
nina akili, hekima na busara tu katika kuyafanya haya.
usipotoshe wadau tafadhali,
this is police case hakuna mawasiliono ya mtu yanaweza kuwekwa wazi bila idhini au amri ya mahakama.
hata hivyo,
wewe ni afisa forodha uliemuita kuhakiki hizo bidhaa zake? au unambwelambwela tu kinafiki na kujifanya una huruma sanaaaa, kumbe manafiki tu...
si ujitokeze basi,
ili vyomba vya uchunguzi vianzie kwako na kujua mlikua manawasiliana na kuzungumza nini.?
R.I.P. Ulomi, ila kuna wanafiki wengi aise wamejitokeza kupotosha kuhusu kifo chako, dah!🐒
Madekela naye awe makini. Na Ali kibao naye alishawahi kuwa askari.Hili nina uhakika nalo kuwa Daisle ulomi alikuwa askari wa jeshi la Polisi Tanzania ila sina uhakika kama aliachana na hiyo kazi(Hapa ndipo swali lilipo kuhusu kifo chake, Ulomi kauawa) maana ni siku nyingi sijaonana naye ila ufahamu wangu na hata kiapo naweza thibitisha kuwa Daisle ulomi alikuwa askari wa jeshi la polisi Tanzania.
N.B; Nilikutana na Daisle Simon Ulomi at Tumaini university Dar es Salaam College(Tudarco).
He was a good brother, sikutegemea km kuna siku atauawa kikatili hivi...
Pumzika kwa amani kamanda DView attachment 3178324
Kwahiyo we mbulala unataka kutambia marehemu hakuwa na kitambulisho chochote mfukoni kwa hadhi yake kwenye jamii?? maana hakuwa boda huyo.gentleman,
wangesema nini na muungwana hakua na utambulisho wowote na hakuweza kueleza chochote kulingana na alivyojeruhiwa na ikawa ngumu kumtambua.
wasamaria hususan bodaboda wenzake walimuwahisha hospitali Lakini ndiyo hivyo tena akakata roho alipofikishwa hospital.
polisi sio malaika kumtambua asie na utambulisho nchini 🐒
sasa muerevu,Kwahiyo we mbulala unataka kutambia marehemu hakuwa na kitambulisho chochote mfukoni kwa hadhi yake kwenye jamii?? maana hakuwa boda huyo.
Huna uhakika kama bado alikua askari au laa,na sijaona utata wa kifo chakeUnataka ufafanuliwe kila kitu, akili yako haiwezi kung'amua jambo?...
Ngoja nikupe mwanga kidogo; Kama bado alikuwa askari, kwa nini wanatumia utambulisho wa pili kuwa ni mfanyabiashara pasipo kutumia cheo chake?. Km aliachana na uaskari, aliondoka na siri gani muhimu?. Kwa nn kifo chake kina utata na kuzua maswali lukuki?
We unataka turukie tu behewa lako la polisi kuhusika bila ya hoja za msingi,kisa ni trend polisi kulaumiwa!?Punguza kula ugali na makande, vinakufanya ulemae akili
sikutegemea km kuna siku atauawa kikatili hivi...
Wewe Mtetezi ndo useme Kwa nini Polisi hawajamtaja kama Askari wao wakati mpaka anakufa alikuwa Askari. Unaona ni Jambo la kawaida Hilo?Mbona hadithi yako haioneshi kama kauawa zaidi ya kuelezea namna ulivyomfahamu kwa uchache?
Mi naogopa kabisa na kama ni ajali ya kawaida mbona lina wahahisha hivyo ...Haya mambo kama hayajawi kutokea usoni kwako utamtetea kila mtu ila yakikufika hutamuamini yeyote kati yao sisi mtaani tulipoteza vijana 3 kwa mpigo.Una uhakika kwamba ni ajali? Yaani unaliamini kabisa GESHI letu na "TAHARIFA" zake?
Polisi wamesema alipata ajali
Ova
Mi naogopa kabisa na kama ni ajali ya kawaida mbona lina wahahisha hivyo ...Haya mambo kama hayajawi kutokea usoni kwako utamtetea kila mtu ila yakikufika hutamuamini yeyote kati yao sisi mtaani tulipoteza vijana 3 kwa mpigo.
Nani afuatialie namba zilizompigia ndugu yangu? Kusoma hujui, picha nazo zinakushinda kuangalia? Mimi niliposoma taarifa jinsi alivyopotea na kuja kupatiana nilijua tu kuna kitu kinafichwa. Hili la kusema alikuwa polisi nano lina ukweli na huenda kuna jambo wametaka kufichaKama alipigiwa simu aende kukagua contena, alienda bila vielelezo mfukoni kuwa ndiye mmiliki wa hizo bidhaa ? Wataalam wa mawasiliano wangeweza kufuatilia namba zilizompigia mara ya mwisho hata kama simu yake ilipotezwa makusudi, ili kubaini wahusika. Hiyo imefanyika ? Mtu anapata ajali saa 6 mchana jua linawaka, watu wanapita wanaona halafu mnaleta tlaatlaah na blaablaa kwenye kifo. Yawezekana aliharibu mahala. Lakini huwa najiuliza, kwani adhabu pekee huwa ni kifo ?
Ni kweli lakini siku hizi mtu yoyote anaweza kuwa mwandishi. Tena kulivyo na uwanja mpana wa internet wala huogopi kuandamwa na unaweza kutoa details mpaka za uvunguni.Tungekuwa na waandishi makini wa habari za kiuchunguzi hili jambo ni rahisi kulijua ukweli wake...
muda wowote wanakuunguzaKuwatetea polisi na single maza ni kazi ngumu sana kwa sasa.
Ndiyo wangekuwepo wale investigation journalist wangeenda hapo ubungo na kufanya uchunguzi
Ila kama ni ajali ya boda kapata hiyo hatushangai
Ova