natumia maneno kidogo mno kuwapa uelewa na ufahamu wa masula haya gentleman,
nguvu mie sina,
nina akili, hekima na busara tu katika kuyafanya haya.
usipotoshe wadau tafadhali,
this is police case hakuna mawasiliono ya mtu yanaweza kuwekwa wazi bila idhini au amri ya mahakama.
hata hivyo,
wewe ni afisa forodha uliemuita kuhakiki hizo bidhaa zake? au unambwelambwela tu kinafiki na kujifanya una huruma sanaaaa, kumbe manafiki tu...
si ujitokeze basi,
ili vyomba vya uchunguzi vianzie kwako na kujua mlikua manawasiliana na kuzungumza nini.?
R.I.P. Ulomi, ila kuna wanafiki wengi aise wamejitokeza kupotosha kuhusu kifo chako, dah!🐒