Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
Mungu aifanye roho ya Freeman Mbowe kuwa yenye kuridhika - Mungu anapomuinua Tundu Lissu aifanye njia yake ya uongozi kuzingatia:-
* Kutozidisha miaka 10 katika uongozi huo;
* Kuamini kuwa mbali yake wapo wafuasi wengi wenye uwezo wa kuongoza taasisi hiyo;
* Afahamu kuwa taasisi hiyo siyo ya kanda au Mkoa mmoja, hivyo mgawanyo wa uongozi uzingatie uwiano wa kitaifa;
* Awe MTU wa maneno na matendo - kila jambo aliamulie kwa hekima.