Dakika 13 za kwanza za mwaka mpya kwa ajili ya Maombi ya ushindi kwa Tundu Lissu

Kabende Msakila

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2020
Posts
1,809
Reaction score
1,692
Mungu aifanye roho ya Freeman Mbowe kuwa yenye kuridhika - Mungu anapomuinua Tundu Lissu aifanye njia yake ya uongozi kuzingatia:-

* Kutozidisha miaka 10 katika uongozi huo;

* Kuamini kuwa mbali yake wapo wafuasi wengi wenye uwezo wa kuongoza taasisi hiyo;

* Afahamu kuwa taasisi hiyo siyo ya kanda au Mkoa mmoja, hivyo mgawanyo wa uongozi uzingatie uwiano wa kitaifa;

* Awe MTU wa maneno na matendo - kila jambo aliamulie kwa hekima.
 
Lisu inakushinda mill 30 na umaarufu wako wote
 
HappyNew20251.jpg

Haya shime wananchi...
Mwaka mpya, mwamko mpya!​
 
Mungu aifanye roho ya Freeman Mbowe kuwa yenye kuridhika - Mungu anapomuinua Tundu Lissu aifanye njia yake ya uongozi kuzingatia:-

* Kutozidisha miaka 10 katika uongozi huo;

* Kuamini kuwa mbali yake wapo wafuasi wengi wenye uwezo wa kuongoza taasisi hiyo;

* Afahamu kuwa taasisi hiyo siyo ya kanda au Mkoa mmoja, hivyo mgawanyo wa uongozi uzingatie uwiano wa kitaifa;

* Awe MTU wa maneno na matendo - kila jambo aliamulie kwa hekima.
Ameeni Bwana alipomwinua Rohoamu dhidi Yeroboham

Umoja wa kina Yoabu, Abiathali Kuhani waliangukia pua.
 
Lisu hatawasaidia chochote kile kama mnategemea yeye ndie alete mageuzi nyie mkiwa mmelala manajidanganya sana humu hio haitawezekana kamwe.
Mkuu Hatua ya kwanza ni kumpa moyo na kuunga mkono Ndoto zake.

Sis tushakuwa tayari kufata nyayo zake.
 
Mungu aifanye roho ya Freeman Mbowe kuwa yenye kuridhika - Mungu anapomuinua Tundu Lissu aifanye njia yake ya uongozi kuzingatia:-

* Kutozidisha miaka 10 katika uongozi huo;

* Kuamini kuwa mbali yake wapo wafuasi wengi wenye uwezo wa kuongoza taasisi hiyo;

* Afahamu kuwa taasisi hiyo siyo ya kanda au Mkoa mmoja, hivyo mgawanyo wa uongozi uzingatie uwiano wa kitaifa;

* Awe MTU wa maneno na matendo - kila jambo aliamulie kwa hekima.
CCM hawatakubali Lisu awe Mwenyekiti wanataka Mbowe mnyonge wao
 
Mungu aifanye roho ya Freeman Mbowe kuwa yenye kuridhika - Mungu anapomuinua Tundu Lissu aifanye njia yake ya uongozi kuzingatia:-

* Kutozidisha miaka 10 katika uongozi huo;

* Kuamini kuwa mbali yake wapo wafuasi wengi wenye uwezo wa kuongoza taasisi hiyo;

* Afahamu kuwa taasisi hiyo siyo ya kanda au Mkoa mmoja, hivyo mgawanyo wa uongozi uzingatie uwiano wa kitaifa;

* Awe MTU wa maneno na matendo - kila jambo aliamulie kwa hekima.
Mbowe ni mbishi hasikiagi ushauri.
Muulize kitila mkumbo.
 
Mungu aifanye roho ya Freeman Mbowe kuwa yenye kuridhika - Mungu anapomuinua Tundu Lissu aifanye njia yake ya uongozi kuzingatia:-

* Kutozidisha miaka 10 katika uongozi huo;

* Kuamini kuwa mbali yake wapo wafuasi wengi wenye uwezo wa kuongoza taasisi hiyo;

* Afahamu kuwa taasisi hiyo siyo ya kanda au Mkoa mmoja, hivyo mgawanyo wa uongozi uzingatie uwiano wa kitaifa;

* Awe MTU wa maneno na matendo - kila jambo aliamulie kwa hekima.
Duu unatosha na mimi kesho nitashusha ya kwangu
 
Mungu aifanye roho ya Freeman Mbowe kuwa yenye kuridhika - Mungu anapomuinua Tundu Lissu aifanye njia yake ya uongozi kuzingatia:-

* Kutozidisha miaka 10 katika uongozi huo;

* Kuamini kuwa mbali yake wapo wafuasi wengi wenye uwezo wa kuongoza taasisi hiyo;

* Afahamu kuwa taasisi hiyo siyo ya kanda au Mkoa mmoja, hivyo mgawanyo wa uongozi uzingatie uwiano wa kitaifa;

* Awe MTU wa maneno na matendo - kila jambo aliamulie kwa hekima.
Namuombe Lisu kwa Mungu, amjalie hekima na busara,
amuepushe na tamaa ya madaraka, na kuwanenea, kuwasingizia na kuwashuhudia wengine uongo na uzushi bila ushahidi.
Aimen. :NoGodNo:
 
Lissu anaongea ongea sana. Tabia ya kumsema Mbowe kwa maamuzi yaliyofanywa kikatiba ama na kamati kuu akiwemo na yeye inazidi kuonyeaha huyu jamaa ni kiongozi wa namna gani.
 
Los
Mungu aifanye roho ya Freeman Mbowe kuwa yenye kuridhika - Mungu anapomuinua Tundu Lissu aifanye njia yake ya uongozi kuzingatia:-

* Kutozidisha miaka 10 katika uongozi huo;

* Kuamini kuwa mbali yake wapo wafuasi wengi wenye uwezo wa kuongoza taasisi hiyo;

* Afahamu kuwa taasisi hiyo siyo ya kanda au Mkoa mmoja, hivyo mgawanyo wa uongozi uzingatie uwiano wa kitaifa;

* Awe MTU wa maneno na matendo - kila jambo aliamulie kwa hekima.l
Mungu aifanye roho ya Freeman Mbowe kuwa yenye kuridhika - Mungu anapomuinua Tundu Lissu aifanye njia yake ya uongozi kuzingatia:-

* Kutozidisha miaka 10 katika uongozi huo;

* Kuamini kuwa mbali yake wapo wafuasi wengi wenye uwezo wa kuongoza taasisi hiyo;

* Afahamu kuwa taasisi hiyo siyo ya kanda au Mkoa mmoja, hivyo mgawanyo wa uongozi uzingatie uwiano wa kitaifa;

* Awe MTU wa maneno na matendo - kila jambo aliamulie kwa hekima.
Lisu anatembea na tiketi mfukoni
 
Back
Top Bottom