Dakika 30 baada ya kuzikwa

Maishaa ndivyo yalivyo ,,,tenaa kwetu na biaa tunawekaa na baadaa ya kulewaa tunaanzaa kuliaaa upyaaa kwa kumsifia marehemuu
 
Sherehe 3 muhim za binadam, kuzaliwa, kuoa/kuolewa, kufa. Sasa kama watu wanapiga diko hizo 2, kwanin ya tatu wasimalizie,? Kula ni lazma, kulia ndo hiari. Asilimia kubwa ya watakaofinya mpunga wala hawana maumivu ya kuondokewa na mpendwa wao, sana sana wamekuja kubypass budget zao za menu kwa siku hyo. (Usiombe ukaona wanavofinya matonge makubwa makubwa, huez amini).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…