Dakika 30 baada ya kuzikwa

Dakika 30 baada ya kuzikwa

Sherehe 3 muhim za binadam, kuzaliwa, kuoa/kuolewa, kufa. Sasa kama watu wanapiga diko hizo 2, kwanin ya tatu wasimalizie,? Kula ni lazma, kulia ndo hiari. Asilimia kubwa ya watakaofinya mpunga wala hawana maumivu ya kuondokewa na mpendwa wao, sana sana wamekuja kubypass budget zao za menu kwa siku hyo. (Usiombe ukaona wanavofinya matonge makubwa makubwa, huez amini).
🙂😅😅😅
 
Ila kusahau ni katika neema kubwa ambazo mwenyezimungu ametupa.

Hebu imagine watu wangekuwa hawasau ( hasa yale mambo yanayo wauumiza) ingekuwaje?
 
Ukisikia maisha lazima yaendelee ndio hivyo sasa.
 
Back
Top Bottom