Dakika 30 za PLO Lumumba zaimaliza NASA ya Odinga mahakamani, wanasheria wa Tanzania jifunzeni kwake jamaa huyu

Dakika 30 za PLO Lumumba zaimaliza NASA ya Odinga mahakamani, wanasheria wa Tanzania jifunzeni kwake jamaa huyu

Samweli Mathayo

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2017
Posts
1,577
Reaction score
1,702
Huyu professor PLO LUMUMBA, ametumia dakika 30 tu kulegeza msimamo wa NASA na imani ya kwamba wameibiwa kura,

Amefanya hivyo mahakamani ambako kulikuwa na pingamizi la ushindi wa Uhuru Kenyatta,

Swali langu hivi kweli umahiri au uimara wa wanasheria wetu unafikia wa wakenya?

Niwe mkweli kwa ninachokiamini, Tanzania kila jambo limechanganywa na siasa, ndo maana hata weledi Hakuna.

Kwa wanaojua lugha ya kiingereza pitia video hii. Pia uwe na kamusi pembeni maana English ya PLO Lumumba haijawahi acha vichwa salama.

Maelezo kwa kifupi ya Prof Lumumba ni haya baadhi

1. Wamefungua kesi bila kuwa na hoja ya msingi iliyosababisha kesi kufunguliwa.

2. Affidavit badala ya kuwa nafsi ya kwanza umoja kwa mujibu wa sheria, yao inaonesha ni nafsi ya kwanza wingi. Haina mdai inshort.

3. Wamewasilisha hoja zenye takwimu na zenye mantiki, lkn wanaitaka mahakama ijikite kutoa uamuzi kwa kuzingatia maneno matupu(mantiki) na siyo takwimu ambazo zinaonesha odinga kapigwa.

4. Nasa walitangazia umma kuwa hata wakishindwa hawataenda mahakamani maana hawaiamini, leo wameenda kwenye mahakama ambayo wameshautangazia umma kuwa haitendi haki. Prejudice!

5. Wamefungua kesi wakidai aliyefungua kesi ni wananchi wa Kenya, wakati wananchi wa kenya walishapiga kura na kumpa ushindi mnono Uhuru. Sasa waliompa ushindi Uhuru, wanaanzaje tena kuupinga? Inaonesha siyo wakenye, bali ni kikundi cha baadhi ya wakenya wasioheshimu mchakato wa democrasia.

Najua ufipa hawawezi kumkubali kisa anamkubali Magufuli

Yes nilimsikiliza sana. hakuna ukali wa sheria aliousema ni mbwembwe ambazo hazisaidii kushinda kesi
The same implies tu lumumba,...he is a good law lecturer bt not a good advocate.....ukiangalia the man was lecturing na hamna points raised ambazo zimebomoa ngome ya Nasa..iknow umependa anavocheza na hiyo legal language

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona tuko wote sijapenda lolote kwake, nimeandika hivi: Yes nilimsikiliza sana. hakuna ukali wa sheria aliousema ni mbwembwe ambazo hazisaidii kushinda kesi
 
Huyu professor PLO LUMUMBA, ametumia dakika 30 tu kulegeza msimamo wa NASA Na imani ya kwamba wameibiwa kura,

Amefanya hivyo mahakamani ambako kilikuwa Na pingamizi la ushindi wa Uhuru Kenyatta,

Swali langu hivi kweli umehili au uimara wa wanasheria wetu unafikia wa Wakenya?

Niwe mkweli kwa ninachokiamini, Tanzania kila Jambo limechanganywa Na siasa, ndo maana hata weledi Hakuna,

Kwa wanaojua lugha ya kiingereza pitia video hii. Pia uwe Na kamusi pembeni maana English ya plo Lumumba haijawahi acha vichwa salama,

Hakutoa mchango wa maana kisheria. Alipiga siasa tu.
 
The same implies tu lumumba,...he is a good law lecturer bt not a good advocate.....ukiangalia the man was lecturing na hamna points raised ambazo zimebomoa ngome ya Nasa..iknow umependa anavocheza na hiyo legal language

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli Mkuu jamaa no mzuri kuchezea legal language but no conq point to pin down NASA team.
 
Ni kweli Mkuu jamaa no mzuri kuchezea legal language but no conq point to pin down NASA team.
Sure uknow these law professors,..they lack legal practising.....maan walipomaliza chuo waliendelea kutafuta ma degree mengine na kusoma mavitabu na kufanya research,..wametumia mdaa mchache sana kupractise mahakamn...nakmbuka sheria as u practise u became more efficiency,..., ukicheki vzur hamna advocate mzuri ambae ni proffesor bt there highly learned

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu professor PLO LUMUMBA, ametumia dakika 30 tu kulegeza msimamo wa NASA Na imani ya kwamba wameibiwa kura,

Amefanya hivyo mahakamani ambako kilikuwa Na pingamizi la ushindi wa Uhuru Kenyatta,

Swali langu hivi kweli umehili au uimara wa wanasheria wetu unafikia wa Wakenya?

Niwe mkweli kwa ninachokiamini, Tanzania kila Jambo limechanganywa Na siasa, ndo maana hata weledi Hakuna,

Kwa wanaojua lugha ya kiingereza pitia video hii. Pia uwe Na kamusi pembeni maana English ya plo Lumumba haijawahi acha vichwa salama,

mkuu, hiyo English ya kuhitaji hadi kamusi mbona sijaisikia hapo?

au kwa vile ametamka "pythagoras theorem" basi ndiyo "haijaacha kichwa chako salama" mkuu?

hii theorem inafundishwa tangu form 2 mkuu, sema tu basi kwa vile sisi huku kwetu tumekula maharage ya wapi sijui....huwaga tunasifia hata visivyosifika!
 
Back
Top Bottom