Utasemaje hakusema ya maana wakati lugha aliyotumia inakupita pembeni?Mbona hakusema ya maana sana ila maneno magumu ya kiingereza!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utasemaje hakusema ya maana wakati lugha aliyotumia inakupita pembeni?Mbona hakusema ya maana sana ila maneno magumu ya kiingereza!
Huyu professor PLO LUMUMBA, ametumia dakika 30 tu kulegeza msimamo wa NASA Na imani ya kwamba wameibiwa kura,
Amefanya hivyo mahakamani ambako kilikuwa Na pingamizi la ushindi wa Uhuru Kenyatta,
Swali langu hivi kweli umehili au uimara wa wanasheria wetu unafikia wa Wakenya?
Niwe mkweli kwa ninachokiamini, Tanzania kila Jambo limechanganywa Na siasa, ndo maana hata weledi Hakuna,
Kwa wanaojua lugha ya kiingereza pitia video hii. Pia uwe Na kamusi pembeni maana English ya plo Lumumba haijawahi acha vichwa salama,

Hakuna neno gumu hapo la Kiengereza hata moja. Labda una refer legal terms na posh accent. Ni sawa na mtoto anayeongea kiengereza akiingia kwenye class ya Form Six ya chemistry au Biology huko Chato, basi akitoka atasema wanaongea kiengereza kigumu kw8eli hawa! Unless majina magumu ya Kikenya nayo ni Kiengereza.Mbona hakusema ya maana sana ila maneno magumu ya kiingereza!
Jamaa huyu anamkubali Magufuli hamna mfano.Tundu Lisu wao huyo
Huyu professor PLO LUMUMBA, ametumia dakika 30 tu kulegeza msimamo wa NASA Na imani ya kwamba wameibiwa kura,
Amefanya hivyo mahakamani ambako kilikuwa Na pingamizi la ushindi wa Uhuru Kenyatta,
Swali langu hivi kweli umehili au uimara wa wanasheria wetu unafikia wa Wakenya?
Niwe mkweli kwa ninachokiamini, Tanzania kila Jambo limechanganywa Na siasa, ndo maana hata weledi Hakuna,
Kwa wanaojua lugha ya kiingereza pitia video hii. Pia uwe Na kamusi pembeni maana English ya plo Lumumba haijawahi acha vichwa salama,
Mbona hakusema ya maana sana ila maneno magumu ya kiingereza!
Wewe kilicho kufurahisha hapo ni hiyo lugha tu..
But content wise, hakuna chochote alichoongea Lumumba..
Na kwa siku hiyo aligeuka tu kama comedian kuwachekesha majaji na wanasheria kwenye ukumbi wa mahakama..
Kwa taarifa tu PLO Lumumba wala hayupo katika top 5 Competent Advocates wa Kenya..
No 1. Ni George Oraro (alimtetea Raila uchaguzi uliopita 2013)
2. Fredrick Ngatia (anamtetea Kenyatta kesi ya sasa)
3.Prof. Githu Muigai (AG wa sasa wa Kenya)
4.Ahmednasir Abdulahi (anamtetea Kenyatta kesi ya sasa)
5. James Orengo (anamtetea Raila kesi ya sasa)