Samweli Mathayo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 1,577
- 1,702
- Thread starter
- #61
Jamaa ni mkali sanaMKALI.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa ni mkali sanaMKALI.....
Yeye alikuwemo kwa wanOunda jopo la IEBCJamaa kiukweli ana confidence ya kiwango cha juu sana. Kulinganisha na wengi hapo kortini.
Yy anawaikilisha tume ya uchaguzi ?
Kabudi Na shivjeeewenyewe hao watu wanaitwa maprofesa wa sheria, huwa wanajua tu theories na kufanya research ya mambo ya kufundisha wanafunzi, ila practice ya sheria na presentation ya argument za kisheria mahakamani huwa ni sifuri kabisa. hata hapa bongo, simjui ni profesa gani hata mmoja tu mzuri kwenye practice ya sheria. hakuna hata mmoja pamoja na kwamba ndio waliotufundisha.
Kabudi Na shivjeee
Huyu professor PLO LUMUMBA, ametumia dakika 30 tu kulegeza msimamo wa NASA Na imani ya kwamba wameibiwa kura,
Amefanya hivyo mahakamani ambako kilikuwa Na pingamizi la ushindi wa Uhuru Kenyatta,
Swali langu hivi kweli umehili au uimara wa wanasheria wetu unafikia wa Wakenya?
Niwe mkweli kwa ninachokiamini, Tanzania kila Jambo limechanganywa Na siasa, ndo maana hata weledi Hakuna,
Kwa wanaojua lugha ya kiingereza pitia video hii. Pia uwe Na kamusi pembeni maana English ya plo Lumumba haijawahi acha vichwa salama,
Najua ufipa hawawezi kumkubali kisa anamkubali magufuli
NASA walijitakia wenyewe kusema eti wakipata madaraka watatawala kama maguMbona hakusema ya maana sana ila maneno magumu ya kiingereza!
Hapo nimekukubali, ok professor RUTASITARA RWEGASIRA , ambaye amefundisha harvad mda mrefu Ila now yuko Botswana, anawaendesha kotin uko kama nnshivji yupo vizuri sana kwenye constitutional, criminal, Land and civil zote. ameanza practice miaka ya nyerere, hadi miaka ile ya utaifishaji mali za wahindi alipambana sana. mwondoe hapa, kwanza huyo sio professor wa kibongo, huyo ni mhindi hadi tabia zake zote. naomba kwa heshima yake nimexclude huyo. wengine wote, angalia hata kama kwenye case law hata moja wana appear huko court of appeal. wanakaa tu darasani na ofisini kufundisha theory na kufanya research kwa ajili ya wazungu. na sheria bila practice ya mahakamani ni sawa tu na sociology.
Chadema imesababisha Uhuru na jubilee washindeCcm imewaponza NASA
Ndiyoooooooooooooo, au hujui?Chadema imesababisha Uhuru na jubilee washinde
Anatumia akili na ni mjanja sana kwenye sheria.4.Ahmednasir Abdulahi (anamtetea Kenyatta kesi ya sasa) "The Grand Mullah" huyu jamaa anatumia mbinu zote kushinda kesi zake nje na ndani. Msomali mjanja sana huyo
Hapo nimekukubali, ok professor RUTASITARA RWEGASIRA , ambaye amefundisha harvad mda mrefu Ila now yuko Botswana, anawaendesha kotin uko kama nn
Huyu professor PLO LUMUMBA, ametumia dakika 30 tu kulegeza msimamo wa NASA Na imani ya kwamba wameibiwa kura,
Amefanya hivyo mahakamani ambako kilikuwa Na pingamizi la ushindi wa Uhuru Kenyatta,
Swali langu hivi kweli umehili au uimara wa wanasheria wetu unafikia wa Wakenya?
Niwe mkweli kwa ninachokiamini, Tanzania kila Jambo limechanganywa Na siasa, ndo maana hata weledi Hakuna,
Kwa wanaojua lugha ya kiingereza pitia video hii. Pia uwe Na kamusi pembeni maana English ya plo Lumumba haijawahi acha vichwa salama,
Najua ufipa hawawezi kumkubali kisa anamkubali magufuli
4.Ahmednasir Abdulahi (anamtetea Kenyatta kesi ya sasa) "The Grand Mullah" huyu jamaa anatumia mbinu zote kushinda kesi zake nje na ndani. Msomali mjanja sana huyo
Abdullahinasiri Abdullah huyu jamaa wa Kenyatta, namkubali kinoma noma
Kama Tundu LisuTundu Lisu wao huyo
Huyu professor PLO LUMUMBA, ametumia dakika 30 tu kulegeza msimamo wa NASA na imani ya kwamba wameibiwa kura,
Amefanya hivyo mahakamani ambako kulikuwa na pingamizi la ushindi wa Uhuru Kenyatta,
Swali langu hivi kweli umahiri au uimara wa wanasheria wetu unafikia wa wakenya?
Niwe mkweli kwa ninachokiamini, Tanzania kila jambo limechanganywa na siasa, ndo maana hata weledi Hakuna.
Kwa wanaojua lugha ya kiingereza pitia video hii. Pia uwe na kamusi pembeni maana English ya PLO Lumumba haijawahi acha vichwa salama.
Najua ufipa hawawezi kumkubali kisa anamkubali Magufuli